Amesema amejinyonga kwa ridhaa yake mwenyewe.Katika ujumbe huo,
ametaja majina ya watu anaowadai na kuagiza walipe madeni yake kabla ya
mwili wake kusafirishwa kwao pamoja na namba za Mama yake mzazi.
Mimi Jesca Reinald Elisante Leo tarehe 29 , 03 , 2016 nimeamua
kujinyonga kwa ridhaa yangu mwenyewe hakuna mtu yeyote anayehusika na kifo
changu na hizi ni namba ya Mama yangu,0672740439.
Ninao wadai
Mama Diana 33,000/=
John Memory card 4 GB
Boss Mshahara 60,000/=
wanao nidai
Zai 20,000/=alipwe na ninao wadai wahakikishe wanalipa kabla
sijarudishwa kwetu.
NB:HAKUNA ANAYEHUSIKA NA KIFO CHANGU.
Ndugu zangu nawapenda sana
vitu vyangu vyote vipelekwe kwetu
Jau Kwenye Kuni.
No comments:
Post a Comment