Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema Kenya ni nchi inayoongoza
kwa uwekezaji nchini Tanzania ikilinganishwa na nchi nyingine za Bara la
Afrika.
KUHABARISHA NA KUFAHAMISHA KUHUSU HABARI NA MAMBO YANAYOENDELEA KATIKA JAMII YA GEITA, KANDA YA ZIWA, TAIFA NA DUNIANI. TUTUMIE HABARI AU WASILIANA NASI KUPITIA info@stormfm.co.tz au +255 685 883 870
Monday 31 October 2016
Sunday 30 October 2016
TEMESA YAANZISHA PROGRAMU YA KUBAINI VIPURI BANDIA.
Mtendaji Mkuu wa
Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA Dkt. Mussa Mgwatu (kulia) akisikiliza taarifa
ya kituo cha TEMESA Iringa kutoka kwa Meneja wa kituo hicho Mhandisi Ian
Makule.
Meneja wa TEMESA Iringa Mhandisi Ian Makule (Kulia) akimuonesha Mtendaji
Mkuu wa TEMESA Dkt. Mussa Mgwatu (kushoto) stoo ya vifaa kwa ajili ya ukarabati
mdogo wa magari.
Friday 28 October 2016
SHULE YA MSINGI BUTWA HAINA WALIMU WA KIKE
Wednesday 26 October 2016
MTENDAJI MKUU TEMESA AWATAKA WAFANYAKAZI WA MV TANGA KUZINGATIA USALAMA WA ABIRIA
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Dkt. Mussa Mgwatu
(katikati) akitoa maelekezo ya kiutendaji kwa Meneja Msaidizi TEMESA
Tanga Mhandisi Mahangaiko Ngoroma (kushoto) alipotembelea kituo
hicho, kulia ni Mhasibu wa TEMESA Tanga Bw. Lusenga David.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Dkt. Mussa Mgwatu
(kushoto aliyesimama) akizungumza na watumishi wa TEMESA Tanga
wakati alipotembelea kituo hicho kuangalia hali ya utendaji kazi, kulia ni
Meneja Msaidizi TEMESA Tanga Mhandisi Mahangaiko Ngoroma.
Tuesday 25 October 2016
MKUU WA WILAYA YA BUKOMBE JOSEPHAT MAGANGA ATOA SEMINA KWA WALIMU NA WARATIBU WA ELIMU
MOROCCO KUJENGA UWANJA WA MPIRA MKOANI DODOMA.
Monday 24 October 2016
UDSM WATAKIWA KUHAKIKISHA KINAENDELEA KUWA CHUO KIONGOZI KATIKA VYUO VIKUU NCHINI
Mhadhiri
wa Heshima Prof. Tade Aina toka nchini Nigeria akielezea hali ya vyuo vikuu vya
Afrika katika muktadha wa Kimataifa wakati wa kongamano la kuazimisha miaka 55
toka kuanzishwa kwa Chuo Kikuu hicho mapema hii leo Chuo Kikuu jijini Dar es
Salaam.
Baadhi ya washiriki wa kongamano maalum la
kuazimisha miaka 55 toka kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
wakimsikiliza kwa makini Mhadhiri wa Heshima Prof. Tade Aina toka nchini
Nigeria wakati akielezea hali ya vyuo vikuu vya Afrika katika muktadha wa
Kimataifa mapema hii leo Chuo Kikuu jijini Dar es Salaam.
Rais Mstaafu wa awamu ya nne ambaye pia ni Mkuu
wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akifurahia
jambo na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba (kushoto) wakati wa
kongamano la kuazimisha miaka 55 toka kuanzishwa kwa Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam mapema hii leo Chuoni hapo, katikati ni Mhadhiri wa Heshima Prof. Tade
Aina toka nchini Nigeria.
Rais Mstaafu wa awamu ya nne ambaye pia ni Mkuu
wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha
ya pamoja na Viongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Wakuu wa Vitivo wa
Chuo hicho wakati wa kongamano la kusherehekea kutimiza miaka 55 toka
kuanzishwa kwa chuo hicho.
MKURUGENZI WA HABARI AWATAKA WADAU WA TASNIA YA HABARI KUTOA MAONI KUHUSU MUSWADA WA HABARI
Mkurugenzi wa Habari, Hassani Abbas
(kulia) akizungumza jambo na Mwandishi Mwadamizi wa Gazeti la Jambo Leo,
Mashaka Mgeta (kushoto) wakati wa ziara
ya kutembelea ofisi za gazeti hilo pamoja na kubadilisha uzoefu wa kazi leo
Jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mhariri Mtendaji Anicetus Mwesa.
Mkurugenzi wa Habari, Hassani Abbas (kushoto), akizungumza na
Wahariri Waandamizi wa Gazeti la Jambo Leo, Anicetus Mwesa (katikati),
Exuper Kachenje na Kizito Noya wakati wa ziara ya kutembelea ofisi za gazeti hilo pamoja
na kubadilisha uzoefu wa kazi leo Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Habari, Hassani Abbas (kushoto), akizungumza na
Wahariri Waandamizi wa Gazeti la Jambo Leo, Joseph Lugendo (kushoto), na Joseph
Kulngwa wakati wa ziara ya kutembelea ofisi
za gazeti pamoja na kubadilisha uzoefu wa kazi leo Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Habari, Hassan Abbas
(katikati) akizungumza na Bodi ya Uhariri ya gazeti la Jambo Leo wakati wa
ziara wakati wa ziara ya kutembelea
ofisi za gazeti hilo pamoja na kubadilisha uzoefu wa kazi leo Jijini Dar es
Salaam.
Mkurugenzi wa Habari, Hassani Abbas
(kulia) akipokelewa na Kaimu Mhariri Mkuu wa gazeti la Majira, Eckland Mwaffisi
wakati wa ziara ya kutembelea ofisi za gazeti hilo pamoja na kubadilisha uzoefu
wa kazi leo Jijini Dar es Salaam.
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Majira,
Imma Mbughuni akimkaribisha Mkurugenzi wa Habari, Hassan Abbas wakati wa ziara
ya kutembelea ofisi za gazeti hilo pamoja na kubadilisha uzoefu wa kazi leo
Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Habari, Hassan Abbas akizungumza na watendaji wakuu wa gazeti la
Majira, akiwemo Mhariri Mtendaji, Imma Mbunghuni wakati wa ziara ya kutembelea ofisi za gazeti
hilo pamoja na kubadilisha uzoefu wa kazi leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni
Afisa Habari Mwandamizi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Jonas Kamaleki.
Mkurugenzi wa Habari, Hassan Abbas
(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wakuu wa gazeti la Majira,
Imma Mbughuni (kulia) na Kaimu Meneja Mkuu wa kampuni ya Bussines Times Ltd
Sophia Mshangama (kushoto).
Mkurugenzi wa Habari, Hassan Abbas
akisalimiana na mpigapicha wa gazeti la Majira, Heri Shabani wakati wa ziara ya kutembelea ofisi za
gazeti hilo pamoja na kubadilisha uzoefu wa kazi leo Jijini Dar es Salaam.
MAKAMBA ASIKITISHWA NA UPUNGUFU WA MAJI ZIWA RUKWA, ATOA MAAGIZO
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)
Mhe.January Makamba ameendelea na ziara ya kikazi katika Mkoa wa Rukwa. Katika
ziara yake Waziri Makamba ameshuhudia uharibifumkubwa wa mazingira hususan
pembezoni mwa ziwa Rukwa.
Saturday 22 October 2016
MJADALA WA MUSWADA WA SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI WAENDELEO MJINI DODOMA CHINI YA KAMATI YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII.
Friday 21 October 2016
KAMATI YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAENDELEA KUUJADILI MUSWADA WA SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI 2016 MJINI DODOMA
Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii pamoja na viongozi wa Wizara ya Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo wakiwa katika kikao cha kujadiliana kuhusu Muswada
wa Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 ambapo wamejadili na kupitia
kifungu kwa kifungu katika Muswada huo leo Oktoba 20,2016 Mjini Dodoma.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Elisante
Ole Gabriel akifafanua jambo mbele ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na
Maendeleo ya Jamii katika kikao cha majadiliano ya Muswada wa Sheria ya Huduma
za Habari leo Oktoba 20,2016 Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura
(kulia) akifuatilia majadiliano kuhusu Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari
kati ya Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii na Wizara yake leo
Oktoba 20,2016 Mjini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Tulia
Ackson (kushoto) akifuatilia majadiliano kuhusu Muswada wa Sheria ya Huduma za
Habari kati ya Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii na Wizara husika
leo Oktoba 20,2016 Mjini Dodoma.
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya
Jamii akifuatilia majadiliano kuhusu Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari kati
ya Kamati hiyo na Wizara husika leo Oktoba 20,2016 Mjini Dodoma.
Wednesday 19 October 2016
MAGONJWA YASIOAMBUKIZWA TISHIO KWA VIFO VYA WATOTO NCHINI
MIKOA SABA NCHINI KUNUFAIKA NA MRADI WA MPANGO WA KUBORESHA ELIMU
Serikali kupitia Mradi
wa Mpango wa Kuboresha Elimu – EQUIP (Education Quality Improvement Programme)
imeendelea kuboresha mfumo wa Elimu hapa nchini katika nyanja ya mitaala kwa
wanafunzi wa darasa la kwanza mpaka la tatu, uongozi bora katika shule za msingi
pamoja na mifumo ya utoaji taarifa na takwimu sahihi.
Tuesday 18 October 2016
WANAFUNZI SHULE YA SEKONDARI GEITA BADO NI CHANGAMOTO KATIKA UTOVU WA NIDHAMU
Shule ya sekondari Geita iliyopo Wilayani na Mkoani
geita ni moja kati ya shule ambazo zimeendelaea kuwa na changamoto nyingi moja
wapo ni wanafunzi kugoma, kuharibu,
miundombinu na hata kuwafanyia Fujo Walimu
WAZIRI NAPE:MUSWADA WA HABARI KUIBADILI TAALUMA
WATU 10 WAPOTEZA MAISHA KUTOKANA NA AJALI YA BASI LA BARCELONA MKOANI LINDI
WATU 13 WAFIKISHWA KIZIMBANI KWA MAUAJI YA WATAFITI DODOMA
JAMBAZI AWAJERUHI KWA BOMU ASKARI NA RAIA WANNE MKOANI KIGOMA
Monday 17 October 2016
GGM YAFADHILI MILIONI 20 KWA AJILI YA MAKTABA KATIKA SHULE YA NYANKUMBU
Mkuu wa Wilaya ya Geita,Herman Kapufi akizindua maktaba ya
kisasa iliyopo shule ya wasichana ya nyakumbu iliyopo kata ya Nyakumbu.
Msemaji wa shirika lisilo la Kiserikali la Read International
Stella Mtega,akishukuru kwa GGM kwa kufanikisha kutoa fedha ambazo zimesaidia
kununua vitabu kwaajili ya maktaba.
Afisa mahusiano wa GGM Manase Ndoloma akiwaeleza wanafunzi
wa shule ya sekondari ya wasichana nyakumbu umuhimu wa
kupenda kusoma vitabu ni kwenye uzinduzi wa maktaba katika shule hiyo ulio
fanyika leo tarehe 17 Oktoba.
Subscribe to:
Posts (Atom)