Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip
Mpango, akizungumza wakati wa kufungua Mkutano wa Uchumi ulioandaliwa na
Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii(ESRF) wakishirikiana na
Ubalozi wa Sweden nchini lengo ikiwa kujadili masuala mbalimbali ya ukuzaji
uchumi.Mkutano huo unafanyika leo,jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Sera
za Kiuchumi na Kijamii(ESRF),Dk. Tausi Kida, akizungumza wakati wa ufunguzi
wa Mkutano wa Uchumi ulioandaliwa na Taasisi hiyo wakishirikiana na
Ubalozi wa Sweden nchini lengo ikiwa kujadili masuala mbalimbali ya ukuzaji
uchumi.Mkutano huo unafanyika leo,jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Sweden nchini,
Katarina Rangnitt, akizungumza wakati wa kufungua Mkutano wa Uchumi
ulioandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii(ESRF)
wakishirikiana na Ubalozi wa Sweden nchini lengo ikiwa kujadili masuala
mbalimbali ya ukuzaji uchumi.Mkutano huo unafanyika leo,jijini Dar es Salaam.
Profesa Joseph Stiglitz akitoa mada
katika Mkutano wa Uchumi ulioandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa Sera za
Kiuchumi na Kijamii(ESRF) wakishirikiana na Ubalozi wa Sweden nchini lengo
ikiwa kujadili masuala mbalimbali ya ukuzaji uchumi.Mkutano huo unafanyika
leo,jijini Dar es Salaam.
Washiriki wa Mkutano wa Uchumi ulioandaliwa na
Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii(ESRF) wakishirikiana na
Ubalozi wa Sweden nchini, wakifuatilia moja ya mada zilizokuwa zikiwasilishwa
wakati wa mkutano huo unaofanyika leo jijini Dar es Salaam. .Picha na Abubakari
Akida
No comments:
Post a Comment