Wednesday 29 November 2017

WAZIRI MKUU MAJALIWA AIPONGEZA WCF KWA KUPIGA HATUA KUBWA NDANI YA KIPINDI KIFUPI

5R5A7123
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Umlemavu, Mhe. Jenista Mhagama, akifungua mkutano Mkuu wa Kwanza wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), kwa niaba ya Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kwenye ukumnbi wa Simba, Kituo cga Mikutano cha Kimataifa, AICC Arusha leo Novemba 29, 2017
5R5A6860
  
5R5A6762

5R5A7061
Naibu Waziri wa Nchi Ofiosi ya Waziri Mkuu, Mhe. Anthony Mavunde, akitoa hotuba yake
5R5A6870
Mkurugenzi Mkuu wa WCF, Bw. Masha Mashomba, akitoa hotuba yake
5R5A7009
5R5A6635
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri MkuuSera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mh.Jenista Mhagama, akipokelewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya WCF, Bw. Emmanuel Humba, wakati alipowasili kwenye kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha AICC, jijini Arusha leo Novemba 29, 2017
5R5A6640
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mh. Jenista Mhagama, akipokelewa na Mkurugenzi Mkuu wa WCF, Bw. Masha Mshomba, wakati akiwasili kqwenye kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha AICC jijini Arusha leo Novemba 29, 2017
5R5A6716
 Mhe. Mhagama na viongozi wengine wakiimba wimbo wa Taifa.
5R5A6643
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mh. Jenista Mhagama, akipokelewa na  
Mkurugenzi wa Huduma za Tiba na Tathmini wa WCF, Dkt. Abdulsalaam Omar,

5R5A6602
 Mbunge wa Chalinze, Mhe., Ridhiwani Kikwete, (kulia), akizungumza na Mkurugenzi wa Operesheni wa WCF, Bw. Anslem Peter.5R5A6347
 Afisa wa WCF, Bw. Edward Kirenga, (kushoto), akiwasajili wajumbe wa mkutano
5R5A6665
 Kutoka kushoto, Mhe. Waziri Mhagama, Dkt. Irine Isaka, Mkurugenzi Mkuu wa SSRA. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Mrisho Gambo. Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya WCF, Bw. Emmanuel Humba, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Bw. Eric Shitindi na Mkurugenzi Mkuu wa WCF, Bw. Masha Mshomba, wakielekea kwenye ukumbi wa mkutano.

5R5A6934
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya WCF, Bw. Emmanuel Humba, akitoa hotuba yake.
5R5A6582

5R5A6902
Dkt. Isaka, akiteta jambo na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Mhe. Stella Ikupa, (kushoto), wakati wa mkutano huo.
5R5A6688
Kikundi cha bendi ya Mjomba, (Mrisho Mpoto), kikitumbuiza
5R5A6662
Viongozi wakishuhudia burudani ya kikundi cha bendi ya Mjomba, Mrisho Mpoto.
5R5A6527
Mkurugenzi wa Operesheni wa WCF, Bw.Anselim Peter, (wapili kulia), akijadiliana jambo na maafisa wa Mfuko huo.
5R5A6561
 Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Dkt. Irine Isaka, (kulia), akisalimiana na Meneja Mafao wa WCF, Bi. Rehema Kabongo
5R5A6600
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii Tanzania (TSSA), Meshac Bandawe , (kushoto), akisalim iana na Meneje Uhusiano wa PPF, Bi. Lulu Mengele
5R5A6405
Wajumbe wamkien delea kusajiliwa kabla ya kuingia ukumbini.
5R5A6411
Mwenyekiti wa Bodi, Bw. Emmnuel Humba, (kulia), akibadilishana mawazo na wajumbe wenzake wa bodi, Dkt. Francis Michael, (wapili kulia), na Bw.Richard Wambali
5R5A7054
Baadhi ya wakurugenzi nna mameneja wa WCF.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ameupongeza Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), kwa mafanikio ambayo Mfuko umepayata katika kipindi cha muda mfupi tangu uanzishwe.

WASAFIRISHAJI WA STENDI YA MABASI WALALAMIKIA UBOVU WA STENDI YA MKOA WA GEITA

DSC_0414
Muonekano wa stendi ya mabasi ya Mkoa wa Geita ikiwa imejaa maji kwenye baadhi ya maeneo.

DSC_0422

DSC_0430

DSC_0434

Wafanyakazi wa Stendi ya Mabasi makubwa Mkoani Geita wamelalamikia ubovu wa miundo mbinu ya stendi hiyo nakudai  kufanya kazi katika mazingira magumu kwa sababu ya wingi wa maji ndani ya stendi hiyo wakati wa mvua za masika.

JUMUIYA YA WAZAZI MKOA WA GEITA YACHAGUA MWENYEKITI MPYA

DSC_0536
Wajumumbe wa Jumuiya ya wazazi wakiwa kwenye mstaari kwaajili ya kupiga kura wa kumchagua mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi wa mkoa wa Geita na wajumbe.

DSC_0427
Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi Mkoa wa Geita ambaye amemaliza muda wake,Doto Biteko akiwashukuru wajumbe kwa ushirikiano ambao walimpatia wakati wa uongozi wake.

DSC_0439
Baadhi ya wagombea kwenye nafasi mbali mbali ndani ya jumuiya hiyo.

DSC_0465
Wasimamizi wa uchaguzi  wakitambulishwa kabla ya zoezi kuanza.

DSC_0473
Mkuu wa Mkoa wa Geita,Mhandisi Robert Luhumbi akijitambulisha mbele ya wajumbe wa mkutano huo.


DSC_0523
Mwenyekiti aliyechaguliwa kwenye jumuiya ya wazazi wa chama cha mapinduzi Mkoani Geita,Bw Lucas Singu Mazinzi  akiwashukuru wajumbe ambao wamemchagua.

DSC_0524
Msimamizi wa uchaguzi   ambaye  ni Katibu wa CCM Mkoa wa Simiyu Donald Magesa  akielekeza namna ambavyo wanatakiwa wajumbe kupiga kura.

DSC_0594
Daud Katwale Ntinonu akijitambulisha na kuelezea namna ambavyo ameamua kurudi ndani ya chama ca mapinduzi akitokea chama cha CHADEMA.

DSC_0616
Katibu wa jumuiya ya wazazi Mkoani Geita,Joseph Mwita akielezea namna ambavyo zoezi la uchaguzi lilivyofanyika(Picha na Joel Maduka)


Sunday 26 November 2017

RAIS MAGUFULI AISHUKURU SERIKALI YA CHINA KWA MELI YA MATIBABU BURE


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, ameishukuru serikali ya watu wa China kwa msaada wao walioutoa kwa wananchi wa Tanzania wa kuwapatia matibabu bure, akisema jambo hilo ni upedo usio elezeka.

RAIS MAGUFULI ATEMBELEA BANDARI LEO NA KUTOA MAAGIZO


Rais John Magufuli ametoa siku saba kwa Mamlaka ya Mapato( TRA), Mamlaka ya Bandari(TPA), TAKUKURU na Wizara ya Fedha kuhakikisha inatoa taarifa ni nani alihusika kuagiza magari 50 kupitia mgongo wa Ofisi ya Rais.

ACACIA BULYANHULU WAKABIDHI MAKTABA YA KISASA WILAYA YA NYANG'HWALE YENYE THAMANI YA MILIONI 23

DSC_0431
Meneja mkuu wa mgodi wa Bulyanhulu Bernedict Busunzu akipatiwa maelezo na mkurugenzi wa Read International ,Bi Magdalena George wakati walipokuwa wakitembelea maktaba ya jamii ambayo hipo wilayaniNyang’hwale ,katika kati ni katibu tawala wa Wilaya hiyo Fabian Sospeter.

DSC_0420
Meneja mkuu wa mgodi wa Bulyanhulu Bernedict Busunzu akikata utepe na katibu tawala wa Wilaya yaNyang’hwale Bw,Fabian Sospeter wakati wa zoezi la kukabidhi maktaba hiyo.

DSC_0452
Sehemu ya vitabu ndani ya maktaba ya jamii wilayani Humo.

DSC_0463
Sehemu ya vitabu ndani ya maktaba ya jamii wilayani Humo.

DSC_0470
Meneja Ufanisi wa mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu,Bw Elias Kasititila akielezea namna ambavyo wameguswa kuchangia maktaba hiyo.

DSC_0505
Bi,Vannesa Kasoga akisoma taarifa ya ukamilikaji wa maktaba hiyo tangu ilipoanza kufanyiwa maboresho na kampuni ya ACACIA.

DSC_0519
Mkurugenzi wa Read International ,Bi Magdalena George akielezea namna ambavyo wameweza kufanukisha kuhakikisha maktaba inakuwa kwenye muonekano bora.

DSC_0553
Katibu tawala wa Wilaya ya Nyang’hwale Bw,Fabian Sospeter akiwasisitiza wananchi pamoja na wanafunzi kutumia maktaba hiyo kujifunza mambo mbali mbali.
DSC_0523
Meneja mkuu wa mgodi wa Bulyanhulu Bernedict Busunzu akizungumza na wananchi pamoja na wanafunzi wakati wa zoezi la kukabidhi na kuzindua maktaba ya jamii wilayani Nyang’hwale.
DSC_0472
Wananchi ambao wamejitokeza kwenye zoezi la uzinduzi wa Maktaba.

DSC_0475
Wanafunzi wa shule ya Msingi Karumwa wakiwa kwenye uzinduzi wa maktaba ya jamii.