MKURUGENZI
WA UENDESHAJI NA TEKNOHAMA KUTOKA MAKAO MAKUU YA BANK YA TPB JEMA MSUYA
WAPILI KUTOKA KUSHOTO AKIKABIDHI MASHUKA NA VYANDARUA KWA AFISA TAKWIMU
WA HALMASHAURI YA MJI WA KAHAMA FLORA SANGIWA AMBAYE ALIMWAKILISHA
MKURUGENZI.
WAFANYAKAZI WA BANK YA TPB WAKISOMBA VYANDARUA NA MASHUKA MARA BAADA YA KUFIKA KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA KAHAMA.
AFISA
MAWASILIANO WA BANK YA TPB MOVES MOSES AKIWAONYESHA WAANDISHI WA HABARI
UBORA WA VYANDARUA WALIVYOVITOA KATIKA HOSPITALI HIYO.
WAFANYAKAZI WA BANK YA TPB WAKITETA JAMBO MUDA MCHACHE KABLA YA KUANZA KWA ZOEZI LA UGAWAJI WA MASHUKA NA VYANDARUA.
MGANGA
MFAWIDHI WA OSPITALI YA WILAYA YA KAHAMA FREDRICK MALUNDE AKITETA JAMBO
NA MENEJA WA TAWI LA TPB KAHAMA WAKATI WA MAKABIDHIANO YA VIFAA HIVYO.
BAADHI
WA WAHUDUMU WA AFYA KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA KAHAMA WAKIWA KATIKA
ENEO LA TUKIO KUSHUHUDIA UTOLEWAJI WA MSAADA HUO WA MASHUKA NA
VYANDARUA.
WAANDISHI
WA HABARI NA BAADHI YA VIONGOZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA KAHAMA NA
WAFANYAKAZI WA TPB WAKIFUATILIA ZOEZI LA UTOLEWAJI WA VIFAA HIVYO.
MGANGA
MFAWIDHI WA HOSPITALI YA WILAYA YA KAHAMA FREDRICK MALUNDE ALIYESIMAMA
AKITOA TATHIMINI YA HALI YA HOSPITALI KUHUSU UPUNGUFU WA MASHUKA NA
VYANDARUA KATIKA HOSPITALI HIYO.
BAADHI YA WAHUDUMU WA AFYA WAKIFUATILIA ZOEZI LA UTOLEWAJI WA VIFAA HIVYO KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA KAHAMA.
MGANGA MKUU WA HOSPITALI YA WILAYA YA KAHAMA DR LUCAS DAVID ALIYESIMAAM
AKITOA NENO LA SHUKRANI KWA BANK YA TPB KATIKA ZOEZI LA KUPOKEA VIFAA
HIVYO.
AFISA
TAKWIMU WA HALMASHAURI YA MJI WA KAHAMA FROLA SANGIWA ALIYEMWAKILISHA
MKURUGENZI WA MJI AKITOA NENO KWA NIABA YA HALMASHAURI.
MKURUGENZI
WA UENDESHAJI NA TEKNOHAMA KUTOKA MAKAO MAKUU YA BANK YA TPB JEMA MSUYA
AKITOA NENO WAKATI WA MAKABIDHIANO YA VIFAA HIVYO.
AFISA
TAKWIMU WA HALMASHAURI YA MJI WA KAHAMA FROLA SANGIWA ALIYEMWAKILISHA
MKURUGENZI WA MJIAKIMKABIDHI BAHASHA YA NENO LA SHUKRANI MR JEMA MSUYA
KUTOAK BANK YA TPB
PICHA PAMOJA BAADA YA MAKABIDHIANO YA VIFAA HIVYO KATIKA HOSPITALI HIYO.
MKURUGENZI
WA UENDESHAJI NA TEKNOHAMA KUTOKA MAKAO MAKUU YA BANK YA TPB JEMA
MSUYAAKIWA NA MGANGA MFAWIDHI WA HOSPITALI HIYO DR FREDRICK MALUNDE
WAKIMFUNIKA MGONJWA NA SHUKA JHIPYA LILILOTOLEWA NA BANK YA TPB.
ZOEZI LA KUWAFUNIKA WAGONJWA LIKIENDELEA KATIKA WODI YA WANAWAKE.
BAADA YA ZOEZI WAFANYAKAZI WA TPB WAKITOKA KATIKA HOSPITALI HIYO.
PICHA NA WILLIAM BUNDALA(KIJUKUU CHA BIBI K)
PICHA NA WILLIAM BUNDALA(KIJUKUU CHA BIBI K)
Takriban wagonjwa elfu 24 hadi elfu 30 wanapokelewa kila mwezi katika
hospitali ya Mji wa KAHAMA mkoani
Shinyanga idadi ambayo inatajwa kuwa ni kubwa ukilinganisha na miundombinu ya
hospitali hiyo.
Hayo yamesemwa leo na Mganga
mfawidhi wa hospitali hiyo, Dokta FREDRICK MALUNDE wakati akipokea msaada wa
mashuka 100 na vyandarua 50 vyenye thamani ya shilingi milioni mbili vilivyotolewa
na Banki ya TPB.
Amesema kutokana na wingi wa
wagonjwa wadau wanapaswa kuguswa kutoa
misaada ya vifaa ili kukabiliana na changamoto hizo.
Naye Mkurugenzi Uendeshaji na Teknohama kutoka makao makuu ya Bank ya TPB JEMA MSUYA amesema
Benki hiyo itaendelea kusaidia kuchangia miradi
ya maendeleo katika sekta mbalimbali huku akiwaomba wadau wengine
wajitokeze kusaidia sekta za afya.
Naye Afisa Takwimu wa
Halmashauri yam Mji wa KAHAMA, FLORA SANGIWA ambaye amemwakilisha Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo
amesema halmashauri hiyo itaendelea kuthamani michango ya wadau wa maendeleo na
kuipongeza benki ya TPB kwa msaada huo.
No comments:
Post a Comment