Monday 30 October 2017

LAZARO NYALANDU AJIUZULU UBUNGE NA KUJIONDOA CCM

Image result for LAZARO NYALANDU 

Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii Nyalandu ameandika Ujumbe huu kama unavyosomeka hapo chini.

RC LUGHUMBI AMEWASILI RASMI MKOANI GEITA KUTEKELEZA MAJUKUMU

Mkuu wa Mkoa wa Geita,Mhandisi Robert Lughumbi akisalimiana na watumishi  pamoja na wakuu wa idara mbali mbali Mkoani humo.
Mkuu wa Mkoa wa Geita,Mhandisi Robert Lughumbi akisalimiana na mwenyeji wake ambaye kwasasa amestaafu kwenye kiti cha ukuu wa Mkoa ,Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga wakati alipokuwa akiwasili kwenye ofisi za Mkoa huo kwaajili ya makabidhiano ya kuanza shughuli na majukumu ya kazi.


 Mkuu wa Mkoa wa Geita,Mhandisi Robert Lughumbi akimkabidhi hati ya pongezi Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Geita ambaye kwasasa amestaafu Meja jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga.
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Geita ambaye kwasasa amestaafu Meja jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga  akionesha Hati ya pongezi ambayo amepatiwa na Mkoa wa Geita wakati alipokuwa akiagana na watumishi.
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Geita ambaye kwasasa amestaafu Meja jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga akimkabidhi Mkuu wa Mkoa mambo muhimu ambayo ameyaandika wakati wa hafla ya kukabidhiana ofisi.
Wakuu wa Wilaya wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa huo pamoja na viongozi wa chama cha mapinduzi(CCM).

 Mkuu wa Mkoa wa Geita akiwa kwenye ofisi yake kwaajili ya kuanza shughuli rasmi.


Friday 27 October 2017

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA HAFLA YA UAPISHAJI WA VIONGOZI


Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Suzan Mlawi akila kiapo cha kushika wadhifa huo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisaini hati ya kiapo cha Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Suzan Mlawi mara baada ya kula kiapo hicho leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Suzan Mlawi mara baada ya kumuapisha kushika wadhifa huo leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.


Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nicholaus Benjamin William akila kiapo cha kushika wadhifa huo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.



Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nicholaus Benjamin William akisaini hati ya kiapo cha kushika wadhifa huo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nicholaus Benjamin William mara baada ya kumuapisha kushika wadhifa huo leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.









MUSWADA WA SHERIA MPYA YA TTCL KULETA MABADILIKO MAKUBWA



Muswada wa Sheria ya Shirika la Simu Tanzania ya mwaka 2017 inatarajia kuleta mabadiliko makubwa ndani ya shirika hilo ikiwa ni pamoja na kuliondoa shirika hilo katika hali ya ufilisi.

WIZARA YA MADINI NA YA ARDHI KUHAKIKI UPYA MADAI YA FIDIA BUCKREEF



 Waziri wa Madini,Bi Angellah Kairuki akiwa na Meneja wa Mgodi wa Buckreef Peter Zishoo(Katikatika) na pembeni ni Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi(CCM)Mkoani Geita Joseph Kasheku Msukuma wakati walipotembelea baadhi ya maeneo ya Mgodi Huo. 



 Waziri wa Madini,Bi Angellah Kairuki akiwa na mwenyeji wake ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Geita,Mwl Herman Kapufi wakati wa kikao na wabia wa mgodi wa Buckreef alipotembea kwa lengo la kujadili namna ambavyo wanatakiwa kuanza kazi za uchimbaji kwenye mgodi huo. 




Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita na Mbunge Joseph Kasheku Msukuma akiwa kwenye kikao hicho wakati alipokuwa akichangia hoja ya fidia kwa wananchi wa kata ya Busanda na Kaseme. 



 Mjiolojia wa mgodi huo Bw Anthony Minde,akisisitiza kutokuafikia swala la kuwalipa fidia baadhi ya wananchi. 




Waziri wa Madini,Bi Angellah Kairuki akisisitiza kupereka taarifa hiyo kwenye Wizara ya ardhi kwaajili ya kutathimini kwa upya maeneo hayo. 



 Baadhi ya wajumbe waliokuwepo kwenye Kikao hicho. 

Thursday 26 October 2017

WAKAZI WA WILAYA YA GEITA WALIOVAMIA HIFADHI ZA MISITU WAZIDI WAONDOLEWA

Eneo la hifadhi ya mistu likiwa limepandwa mahindi ambapo zoezi la kufyeka mahindi hayo likiendelea.

Mkuu wa Wilaya ya Geita,Mwl Herma Kapufi akiongoza kikosi kazi cha kuwatoa wananchi ambao wamevamia kwenye Hifadhi ya mistu.

Tanuru la Mkaa likivurugwa kwenye mstu wa Samina

Eneo la hifadhi ambalo limekatwa miti ili kupisha shughuli za kilimo.

Kundi la Ng'ombe wakiwa wamekamatwa kwenye hifadhi ya misitu ya Samina.

Kibanda kikichomwa moto ambacho kilikutwa ndani ya hifadhi.


Nyumba ikiwa imebomolewa wakati wa zoezi la kuwaondoa wananchi 
walivyamia maeneo ya  hifadhi.





Serikali wilayani Geita imeendelea na zoezi la kuwaondoa baadhi ya wananchi waliovamia hifadhi za Misitu kwa kutoa na kuharibu mazao yaliyokuwa yamepandwa na kubomoa vibanda vilivyo ndani ya hifadhi. 

PICHA: KAMATI YA BUNGE YA BAJETI IMEKUTANA LEO MJINI DODOMA


Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo Mjini Dodoma ambapo walikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Mheshimiwa Hawa Ghasia akiongoza kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Mjini Dodoma ambapo leo imekutana na Taasisi ya Sekta Binafsi kujadili kuhusu vyanzo vya mapato 


Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Mheshimiwa Hawa Ghasia akiongoza kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Mjini Dodoma ambapo leo imekutana na Taasisi ya Sekta Binafsi kujadili kuhusu vyanzo vya mapato ya Serikali na mapendekezo ya hatua za kupunguza utegemezi wa kibajeti kwa mwaka 2018/19


Mjumbe wa Kamati ya Bajeti, Mheshimiwa Janeth Mbene akichangia jambo katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Mjini Dodoma, Kamati Bajeti 3 ambapo leo imekutana na Taasisi ya Sekta Binafsi kujadili kuhusu vyanzo vya mapato ya Serikali na mapendekezo ya hatua za kupunguza utegemezi wa kibajeti kwa mwaka 2018


TUME YA UTUMISHI WA WALIMU YAANZA KUTEKELEZA MAAGIZO YA WAZIRI JAFO





Mkuu wa Wilaya ya Gairo Mkoani Morogoro Bi. Siriel Mchembe akieleza mikakati iliyosaidia Wilaya hiyo kuongeza kiwango cha ufaulu hadi kufikia asilimia zaidi ya 70 mwaka huu kwa Shule za msingi wakati wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Walimu walipomtembelea Ofisini kwake ikiwa ni sehemu ya utaratibu wa Tume 


Afisa Utumishi wa Tume ya Utumishi wa Walimu Bi. Anyagwe  Lupembe akitoa ufafanuzi kuhusu taratibu sheria na Kanuni zinazotumika katika utumishi wa Umma kwa watumishi wa Tume ya utumishi wa Walimu Wilaya ya Gairo wakati wa ziara  ya Ujumbe  wa Tume hiyo.



Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA  wa Tume ya utumishi wa Walimu Bi. Devotha Gabriel akiwasiliosha mada kwa watumishi wa Tume hiyo Wilaya ya Gairo kuhusu matumizi salama ya vifaa vya TEHAMA pamoja na njia sahihi za mawasilisno kwa njia ya mtandao.



Mkuu wa Wilaya ya Gairo Mkoani Morogoro Bi. Siriel Mchemba (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Ujumbe wa Tume ya utumishi wa Walimu uliongozwa na Mkuu wa Kitengo cha TEHAMA wa Tume ya Utumishi wa Walimu Bi. Devotha Gabriel. Wa kwanza kulia ni Katibu Tawala wilaya ya Gairo Bw. Adam Bibangaba.



Wajumbe kutoka Tume ya Utumishi wa Walimu wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Gairo Mkoani Morogoro Bi. Siriel Mchemba wakati walipomtembelea Ofisini kwake.
 (Picha zote na Frank Mvungi- Gairo, Morogoro)

Wednesday 25 October 2017

MATUKIO: NAIBU WAZIRI WA HABARI MH. SHONZA ATEMBELEA OFISI ZA TCRA



Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) Dkt. James Kilaba (kulia) alipofanya ziara TCRA kuangalia namna taasisi hiyo inavyosimamia maudhui ya vyombo vya habari nchini leo Jijini Dar es Salaam.



Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) Dkt. James Kilaba (katikati) akizungumza alipomtembeza Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza kuangalia gari lililofungwa mtambo wa kusimamia masafa ya redio nchini wakati wa ziara yake TCRA leo Jijini Dar es Salaam.



Kaimu Mkurugenzi Idara ya Posta TCRA Bibi. Cecilia Mkoba (kulia) akimuelezea Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (kushoto) namna mawasiliano zamani yalivyokuwa yakifikishwa kutoka eneo moja kwenda eneo lingine alipotembelea makumbusho ya mawasiliano leo wakati wa ziara yake TCRA Jijini Dar es Salaam.

 

Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) Dkt. James Kilaba (kulia) akifafanua jambo kwa Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (kushoto) alipotembelea Idara inayosimamia maudhui ya televisheni zote nchini wakati wa ziara yake TCRA leo Jijini Dar es Salaam



Naibu Waziri Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (kulia) akizungumza na menejimenti ya TCRA alipofanya ziara katika Taasisi hiyo kuangalia namna inavyosimamia maudhui ya vyombo vya habari leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) Dkt. James Kilaba



WAKAZI WA CHIKOBE GEITA WALALAMIKIA KUCHELEWA KWA MRADI WA MAJI




Mabomba ambayo yanatoka kwenye mradi wa Nchakolongo yakiwa yametandazwa wakati Mkuu wa Wilaya ya Geita alipokwenda kutembelea na kukagua maendeleo ya mradi  pamoja na wataalam.


Chanzo cha maji ambacho ndio kinatumiwa  na wanakijiji wa kijiji cha Chikobe. 


Mkuu wa Wilaya ya Geita ,Mwl Herma Kapufi akizungumza na wananchi wa kijiji cha Chikobe juu ya hatua ambazo zinaendelea kutekelezwa na serikali ili kumaliza mradi huo na tatizo la maji kwenye kijiji hicho.