Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akikata utepe pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya
Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina, Balozi wa Japan hapa nchini Masaharu
Yoshida kuashiria ufunguzi wa barabara ya Dodoma-Babati km 251
iliyokamilika kujengwa katika kiwango cha lami, Kondoa mkoani Dodoma. Wengine
katika picha ni Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli , Spika wa Bunge Job Ndugai,
Wabunge pamoja na viongozi wengine wa Serikali.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amewashika mikono na kuwanyanyua juu,
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina kushoto
na Balozi wa Japan hapa nchini Masaharu Yoshida mara baada ya wote
kwa pamoja kukata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Dodoma-Babati km 251
katika sherehe zilizofanyika Bicha Kondoa mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika
(AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina kushoto na Balozi wa Japan hapa nchini
Masaharu Yoshida pamoja na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Pro.
Makame Mbarawa kuashiria ufunguzi wa barabara ya Dodoma-Babati km 251 katika
sherehe zilizofanyika Bicha Kondoa mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na
Mbunge wa Chemba Juma Nkamia mara baada ya kufungua barabara ya Dodoma-Babati
km 251 katika sherehe zilizofanyika Bicha Kondoa mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Rais wa Benki ya
Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina mara baada ya kufungua
barabara ya Dodoma-Babati km 251 katika sherehe zilizofanyika Bicha Kondoa
mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi waliojipanga
kando kando ya barabara ya Dodoma-Babati mara baada ya kuifungua barabara hiyo.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinumwi Adesina wakati wa
sherehe za ufunguzi wa barabara ya Dodoma-Babati Km 251
Kikundi cha kwaya cha JKT Makutupora kikitumbuiza
katika sherehe za ufunguzi wa barabara ya Dodoma-Babati km 251 zilizofanyika
Kondoa mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wakati akiwasili
Kondoa kwa ajili ya sherehe za ufunguzi wa barabara ya Dodoma-Babati.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza katika sherehe za ufunguzi wa
barabara ya Dodoma-Babati yenye Km 251, Kondoa mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mbunge wa Babati Mjini
Pauline Gekul ambaye alihudhuria katika sherehe hizo za ufunguzi wa
Barabara ya Dodoma-Babati km 251, Kondoa mkoani Dodoma
No comments:
Post a Comment