Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce
Ndalichako akiwasilisha hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya
Fedha kwa Wizara hiyo kwa mwaka 2018/19 Bungeni mjini Dodoma mapema
leo.
Mbunge wa Mwanga Prof. Jumanne Maghembe
akichangia hoja ya Bajeti ya Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia kuhusu
mikakati inayoweza kusaidia kuendelea kukuza kiwango cha elimu hapa nchini.
Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na
Mawasiliano Mhe. Elias Kuandikwa akijibu swali Bungeni mjini Dodoma
kuhusu hatua zinazochukuliwa na Serikali katika kujenga miundo mbinu hapa
nchini.
Wageni mbalimbali walihudhuria Bunge
wakiwemo Skauti wakifuatilia kipindi cha maswali na majibu mapema leo
Bungeni mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Fedha Dkt. Ashatu Kijaji
akisisitiza jambo kwa Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isack Kamwelwe leo
mjini Dodoma.
(Picha zote na MAELEZO)
No comments:
Post a Comment