Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na
wabunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki wanaoiwakilisha Tanzania,
Ofisini kwake mjini Dodoma Aprili 23, 2018. Kutoka kushoto ni Josephine
Lemoyan, Happiness Lugiko, Mhandisi Habibu Mnyaa, Mariam Ussi Yahya,
Alhaj Adam Kimbisa, Fancy Nkuhi na Dkt. Abdullah Hasnuu Makame.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha
ya pamoja na wabunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki wanaoiwakilisha Tanzania
baada ya kuzungumza nao, Ofisini kwake mjini Dodoma, Aprili 23, 2018. Kutoka
kushoto ni Mhandisi Habibu Mnyaa, Josephine Lemoyan, Dkt. Abdullah Hasnuu
Makame, Alhaj Adam Kimbisa, Mariam Ussi Yahya, Happiness Lugiko na
Fancy Nkuhi. (Picha zote na ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment