Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip
Mangula(mwenye shati jeupe) akizindua Kitabu chenye jina la “Majipu ya Nchi
Yetu” Tushirikiane kuyatumbua leo jijini Dar es Salaam.Kutoka kulia ni Mjumbe
wa Kamati ya Kampeni ya Vitabu na Midahalo (KVM) Bi. Deborah Charles, Agusto
Matefu, Mwenyekiti wa Kamati ya Mijadala na Kongamano ambaye pia ni Mwandishi
wa kitabu hicho Amos Siyantemi na wa mwisho kushoto ni Mratibu wa Taifa wa
Kampeni ya Vitabu na Midahalo nchini (KVM) Bw.
Daniel Zenda. Kampeni hiyo inalengo la kumuunga mkono na kumsaidia Rais
Magufuli katika jitihada zake za kupambana na rushwa maarufu kama utumbuaji wa
majipu.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kampeni ya Vitabu na
Midahalo (KVM) Amosi Siyantemi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo
pichani ) wakati wa uzinduzi wa Kitabu cha Majipu ya Nchi yetu “ Tushirikiane
kuyatumbua leo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara
Philip Mangula na kushoto Mratibu wa
Taifa wa Kampeni ya Vitabu na Midahalo nchini (KVM) Bw. Daniel Zenda.
Waandishi wa habari wakifuatilia uzinduzi wa
Kitabu cha Majipu ya Nchi Yetu “Tushirikiane kuyatumbua” leo jijini jijini Dar
es Salaam. Kitabu hiko kimezinduliwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip
Mangula (hayupo pichani).Uzinduzi wa Kitabu hicho umeenda sambamba na utambulisho wa Kamati ya Kampeni ya Vitabu na
Midahalo (KVM). Kampeni hiyo ina lengo la kumuunga mkono na kumsaidia Rais
Magufuli katika jitihada zake za kupambana na rushwa maarufu kama utumbuaji wa
majipu.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip
Mangula(mwenye shati jeupe) akionyesha Kitabu chenye jina la “Majipu ya Nchi
Yetu” Tushirikiane kuyatumbua mara baada ya kukizindua leo jijini Dar es
Salaam. Kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kampeni ya Vitabu na Midahalo
(KVM) ambaye pia ni Mwandishi wa kitabu hicho Amos Siyantemi na kushoto ni Mratibu
wa Taifa wa Kampeni ya Vitabu na Midahalo nchini (KVM) Bw. Daniel Zenda. Kampeni hiyo ina lengo la
kumuunga mkono na kumsaidia Rais Magufuli katika jitihada zake za kupambana na
rushwa maarufu kama utumbuaji wa majipu.
No comments:
Post a Comment