Pichani ni Bibi kizee mwenye umri wa miaka 84 na mkazi wa
Kijiji cha Chungu, tarafa ya Ihanja, wilaya ya Ikungi, Mkoani Singida akiwa
amebebwa na mmoja wa ndugu zake wakati akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi
ya mjini Singida kutoa ushahidi katika kesi inayomkabili kijana mmoja mwenye
umri wa miaka 32 (jina lake halikupatikana) anayetuhumiwa kumbaka bibi kizee
huyo kwa mara ya tatu sasa ndipo walipofanikiwa kumkamata
No comments:
Post a Comment