Thursday 7 April 2016

PICHA:WAZIRI WA HABARI,SANAA,UTAMADUNI NA MICHEZO NAPE NNAUYE ALIPOTEMBELEA MKOA WA GEITA

1
Waziri wa Habari,Utamaduni,sanaa na Michezo Nape Nnauye akiwasili katika ofisi ya Mkoa wa Geita
23
Kaimu Mkuu wa Mkoa Manzie Mangochie Akifafanua jambo kwa Waziri
45
Waziri wa Habari,Utamaduni,sanaa na Michezo Nape Nnauye akizungumza na watendaji wa Serikali

7\
Waziri wa Habari,Utamaduni,sanaa na Michezo Nape Nnauye akiwa na viongozi wakielekea ukumbini kuzungumza na Maafisa Habari,Michezo na Utamaduni pamoja na Waandishi wa Habari na Viongozi wa Vyama vya Soka Mkoani Geita.
8910
Waandishi wa Habari wakifatilia kwa umakini mazungumzo ya Waziri Nape.
11121314
Baadhi ya Wasanii waliohudhuria kikao cha Waziri wa Habari,Utamaduni,sanaa na Michezo Nape Nnauye .

No comments:

Post a Comment