Katibu
Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki
Ulisubisya akizungumza wakati wa hafla fupi ya maadhimisho ya siku ya mtoto
njiti dunia leo Jijini Dar es Salaam. Maadhimisho ya mwaka huu yameratibiwa na
Shirika la Msaada wa Maendeleo la Ujerumani (GIZ) wanaofadhili ,mradi wa
kukabiliana vifo vya watoto wenye umri mdogo. Kutoka kulia ni Balozi wa
Ujerumani nchini Dkt. Detlef Wachter. Meneja Programu Yakusaidia Afya Tanzania
-German, GIZ Dkt. Susanne Grimm na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Dk. Wedson
Sichalwe.
Balozi
wa Ujerumani nchini Tanzania Mhe. Dkt. Detlef Wachter akielezea jambo wakati wa
hafla fupi ya maadhimisho ya siku ya mtoto njiti dunia leo Jijini Dar es
Salaam. Maadhimisho ya mwaka huu yameratibiwa na Shirika la Msaada wa Maendeleo
la Ujerumani (GIZ) wanaofadhili ,mradi wa kukabiliana vifo vya watoto wenye
umri mdogo.
Meneja
Programu Yakusaidia Afya Tanzania -German, GIZ Dkt. Susanne Grimm akielezea
jambo wakati wa hafla fupi ya maadhimisho ya siku ya mtoto njiti dunia leo
Jijini Dar es Salaam. Maadhimisho ya mwaka huu yameratibiwa na Shirika la
Msaada wa Maendeleo la Ujerumani (GIZ) wanaofadhili ,mradi wa kukabiliana vifo
vya watoto wenye umri mdogo. Kutoka kulia ni Balozi wa Ujerumani nchini
Tanzania Mhe. Dkt. Detlef Wachter, Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya na Mganga Mkuu wa Mkoa wa
Mtwara Dk. Wedson Sichalwe.
Mganga
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Dkt. Wedson Sichalwe akielezea jambo wakati wa hafla
fupi ya maadhimisho ya siku ya mtoto njiti dunia leo Jijini Dar es Salaam.
Maadhimisho ya mwaka huu yameratibiwa na Shirika la Msaada wa Maendeleo la
Ujerumani (GIZ) wanaofadhili ,mradi wa kukabiliana vifo vya watoto wenye umri
mdogo. Kutoka kulia ni Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Mhe. Dkt. Detlef
Wachter, Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya na Meneja Programu Yakusaidia Afya Tanzania
-German, GIZ Dkt. Susanne Grimm.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya akipokea vifaa kwa ajili
ya kutolea huduma za matibabu kwa watoto njiti kutoka kwa Balozi wa Ujerumani
nchini Tanzania Mhe. Dkt. Detlef Wachter katika hafla ya maadhimisho ya siku ya
mtoto njiti dunia iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Vifaa hivyo vyenye
gharama ya Euro 8,538.30 vimetolewa na Serikali ya Ujerumani kupitia Shirika la
Kimataifa la Maendeleo Ujerumani(GIZ)
kupitia mradi wa kukabiliana vifo vya watoto wenye umri mdogo.
Katibu
Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki
Ulisubisya na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Mhe. Dkt. Detlef Wachter
wakionyesha vifaa kwa ajili ya kutolea huduma za matibabu kwa watoto njiti
katika hafla ya maadhimisho ya siku ya mtoto njiti dunia iliyofanyika leo
Jijini Dar es Salaam. Vifaa hivyo vyenye gharama ya Euro 8,538.30 vimetolewa na
Serikali ya Ujerumani kupitia Shirika la Kimataifa la Maendeleo Ujerumani(GIZ)
kwa ajili ya kusaidi Hospitali za Mikoa ya Mtwara na Lindi iliyo katika mradi
wa kukabiliana vifo vya
watoto wenye umri mdogo
Katibu
Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki
Ulisubisya na Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Mhe. Dkt. Detlef Wachter
wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watendaji wa Wizara ya Afya mara
baada ya kumalizika kwa hafla ya maadhimisho ya siku ya mtoto njiti dunia
iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment