Kanda hiyo ya video bado iko
katika facebook na imeangaliwa mara 700,000.
Ni mara ya pili katika kipindi
kisichozidi miezi mitatu mjini Chicago ambapo mauaji yamefanyika moja kwa moja
katika mtandao wa facebook.
Mnamo mwezi Machi mtu
asiyejulikana alipigwa risasi mara 16 wakati akipeperusha matangazo hewani.
Hakuna mtu aliyekamatwa kufika
sasa.Programu ya live-streaming ya facebook inawaruhusu watu kutangaza moja kwa
moja mtandaoni .
No comments:
Post a Comment