Kamishna
wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Bi. Salma Ali Hassan akiongea na
waandishi wa Habari(hawapo pichani) kuhusu hali ya mtoto wa Tanzania na
mazingira hatarishi wanayokutana nayo ikiwemo ubakaji, ulawiti na unyanyasaji
wa kijinsia. Kushoto ni Mkurugenzi wa Haki za Binadamu kutoka Tume ya Haki za
Binadamu na Utawala Bora Bw. Francis Nzuki
Mkurugenzi wa Haki za Binadamu kutoka Tume ya
Haki za Binadamu na Utawala Bora Bw. Francis Nzuki akiongea na waandishi wa
habari (hawapo pichani) kuhusu Mapendekezo ya Tume hiyo kwa Serikali na Jamii
katika kuhakikisha Ulinzi na Usalama kwa Mtoto
unaimarika. Katikati ni Kamishna wa Tume hiyo Bi. Salma Ali Hassan.
No comments:
Post a Comment