Mkuu wa Mkoa wa Lindi Bw. Godfrey Zambi
akimkaribisha Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth
Magufuli alipofika mkoani huko kwa ajili ya Ziara ya kikazi katika mikoa ya
kusini.
Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mama Salma
Kikwete akisalimiana na Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama
Janeth Magufuli alipofika mkoani Lindi kwa ajili ya Ziara ya kikazi.Katikati ni
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Bw. Godfrey Zambi na Kulia ni Mke wa Waziri Mkuu wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Mary Majaliwa
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mama Janeth Magufuli akisalimiana na kinamama waliojitokea kumpokea alipowasili
Mkoani Lindi kwa ajili ya Ziara ya kikazi.
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Bw. Godfrey Zambi
akimshukuru Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli
kwa kuamua kufanya ziara ya kikazi mkoani humo.
Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mama Salma
Kikwete akiongea kwa niaba ya kina mama waliojitokeza kumpokea Mke wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli ambapo alimuahidi
kuendelea kumuunga mkono kwenye shughuli zake na kumtaka kwenda mkoni humo mara
kwa mara kwa ajili ya ziara za kikazi.Katikati mwenye pochi ya bluu ni Mke wa
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Mary Majaliwa
Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mama Salma
Kikwete akimkabidhi zawadi ya Ungo Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mama Janeth Magufuli alipofika mkoani Lindi kwa ajili ya Ziara ya
kikazi. Katikati ni Mke wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama
Mary Majaliwa
Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mama Salma
Kikwete akimkabidhi zawadi ya Kitenge Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mama Janeth Magufuli alipofika mkoani Lindi kwa ajili ya Ziara ya kikazi.
Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mama Salma
Kikwete akimkabidhi zawadi ya Kitenge Mke wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mama Mary Majaliwa.
Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mama Salma
Kikwete akiwakabidhi zawadi ya mbuzi Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mama Janeth Magufuli (kushoto) na Mke wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mama Mary Majaliwa (katikati).
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mama Janeth Magufuli akiwashukuru kinamama na baadhi ya viongozi waliokuja
kumpokea alipofika mkoani Lindi.
Mtoto Lulu Charles akimpa shada la maua Mke wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli alipowasili Mkoani
Mtwara.
No comments:
Post a Comment