Kada wa Chadema na
mbunge wa zamani wa Arumeru Magharibi, Goodluck Ole Medeye ametangaza leo rasmi
kuhamia chama cha UDP.
Ole Medeye amezungumza
hayo mbele ya mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika katika ofisi za Makao
Makuu ya chama hicho,Mwananyamala jijini Dar.
Medeye amezungumza kwa
kujipambanua kuwa yeye anasimamia haki na demokrasia, na kwamba amekerwa sana
na tabia ya vyama vya Upinzani kutomheshimu Naibu Spika,Dkt. Tulia Ackson
Mwansasu,pichani kati ni Mwenyekiti wa chama cha UDP,Mh.John Cheyo akishuhudia
tukio hilo.
No comments:
Post a Comment