Kaimu Mrajisi wa vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika Dkt.Audax Peter Rutabanzibwa akiwaelezea waandishi wa habari (hawapo Pichani)kuhusu makusudio ya Tume hiyo kuvifuta vyama 1862 katika daftari la vyama vya Ushirika ambavyo vimekiuka matakwa ya sheria ya vyama vya ushirika no.6 ya mwaka 2013 na kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa idara ya Habari Maelezo Bi.Zamaradi Kawawa.
Baadhi ya wandishi wa Habari wakifatilia mkutano huo.
Tume ya Maendeleo ya Ushirika inakusudia kuvifuta katika Daf tari la Vyama vyaUshirika vyam a ambavyo vimekiuka matakwa ya Sheria ya Vyama vya UshirikaN a.6 ya mwaka 2013.
Kwa mujibu wa sheria, Mrajis w a Vyama vya Ushirika, kwa maml aka aliyopewachini ya vifungu Namba 11(3),
8(2) na 100 anatakiwa kuvifuta vyama ambavyovimeshindwa kufa nya kazi katika kutimiza masha rti ya usajili wake. Mashartiy aliyokiukwa ni pamoja na kutok ufanya Mikutano kwa mujibu wa Sheria, kutokufanya chaguzi za viongozi kwa mujibu wa Sheria , kuwa na idadi pungufu yawana chama na kushindwa kufanya shu ghuli zake kwa zaidi ya miezi sita, kinyumena matakwa ya Sh eria na masharti ya vyama hivy o.
Kutokana na sababu hizo, vyama vinavyokusudiwa kufutwa ni 1, 862 na vitafutwabaada ya siku tisini (90) kuanzia tarehe 13 Mei,
2016 siku ambayo Tangazo la Ku sudio la Kufuta vyama hivyo il ipochapishwa katika gazeti la Serikali.
Idadi ya vyama vinavyokusudiwa kufutwa katika kila mkoa ni k amaifuatavyo:
Arusha vyama 83, Dar es Salaam
91, Dodoma 50, Geita 16, Iringa
74, Kagera 240, Katavi 19, Kig oma 38, Manyara 73,
Mara 203, Morogoro 278, Mtwara 52, Njombe 18, Pwani 324, Rukwa 14 ,
Ruvuma 14, Shinyanga 89, Simiyu 93, S ingida 15, Tanga 77 na Lindi 1 . Orodha ya vyamavinavyokusudi wa kufutwa inapatikana katika Ofisi za Ushirika za Wilaya na Mikoa na katika tovuti la Tume ya Maendeleo ya Ushirika
Mtu yeyote au Taasisi yenye pi ngamizi la msingi dhidi ya kuf utwa kwa chamahusika, anatakiw a awasilishe pingamizi hilo na sababu zake katika Ofisi ya M rajiskupitia Ofisi za Warajis Wasaidizi wa Mikoa husika ndan i ya siku tisini (90) kuanzia tarehe 13/05/2016, siku ambayo tangazo la kufutwa kwa vyama hivyolilipotangazwa katika gaz eti la Serikali.
Umma unataarifiwa kwamba zoezi la kufuta Vyama vya Ushirika ambavyohaviendeshwi kwa mujibu wa Sheria ni endelevu na kwa ajili hiyo viongozi nawanacham a wa vyama vya Ushirika na Maa fisa Ushirika wanaagizwa kuhak ikishakwamba Vyama vya Ushirik a katika maeneo yao viendeshwe kwa kuzingatiamatakwa ya Sher ia ya Vyama vya Ushirika ili k uepuka vyama vyao kufutwa.
No comments:
Post a Comment