Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozwa kuingia kwenye ukumbi
wa Lancaster House, London nchini Uingereza kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi
kuhusu mapambano dhidi ya rushwa, Mei 12, 2016. Waziri Mkuu Majaliwa
alimwakilisha Rais John Magufuli kwenye mkutano huo.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (wa nne kulia) akishiriki katika
Mazungumzo Rasmi ya Wakuu wa Nchi katika Mkutano kuhusu mapambano dhidi ya
rushwa kwenye ukumbi Lancster House, London, nchini Uingereza Mei 12, 2016.
Majaliwa alimwakilisha Rais John Magufuli katika mkutano huo(Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment