Monday, 6 February 2017

PICHA: RAIS MAGUFULI ALIVYOWAAPISHA VIONGOZI WA MAJESHI LEO



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wageni waalikwa wakati wa hafla ya kumwapisha Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo na Kamishina wa Magereza leo jijini Dar es Salaam.



Mkuu wa Jeshi  la Wananchi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo akiweka saini katika hati ya kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa hafla ya kuapishwa kuwa Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (CDF) leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi  John Kijazi.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka saini katika hati ya kiapo cha utii wakati wa hafla ya kumwapisha Mkuu wa Jeshi  la Wananchi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo leo jijini Dar es Salaam.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi Mkuu mpya wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Jenerali Venance Mabeyo leo jijini Dar es Salaam.




Mnadhimu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Meja Jenerali James M. Mwakibolwa akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi.


Mnadhimu Mkuu w aMajeshi yaUlinzi Tanzania Meja Jenerali James M. Mwakibolwa akiweka saini katika hati ya kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia Dkt. John  Pombe Magufuli wakati wahafla ya kuapishwa kuwa Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania (CDF) leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiweka saini katika hati ya kiapo cha utii wakati wa hafla ya kumwapisha Mnadhimu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania  Meja Jenerali James M. Mwakibolwa leo jijini Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John  Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi Mnadhimu Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Meja Jenerali  James M.  Mwakibolwayo wakati wa hafla ya kuwapisha wateule hao leo jijini Dar es Salaam.


Kamishna Jenerali wa Magereza Dr. Juma Malewa akila kiapo cha  utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi  John  Kijazi.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi Kamishna Jeneraliwa Magereza Dr. Juma Malewa wakati wa hafla ya kuwapisha wateule hao leo jijini Dar es Salaam.


Balozi  Paul  Mella ambaye ataiwakilisha nchi ya  Tanzania katika Jamhuri ya Demokrasia ya  Congo akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu jijini  Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi  John Kijazi.


Balozi Samweli  William  Shelukindo ambaye anakwenda kuiwakilisha  Tanzania nchini Ufaransa akila kiapo  cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi  John Kijazi.


Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma Nyakimura  Mathias Mhoji akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Dkt. John Pombe Magufuli leoIkulu jijini Dar es Salaam. Katikati ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi.


Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) Kamishna  Robert Boaz Mikomangwa akila kiapo  cha utii mbele ya Mkuu wa Jeshi  la Polisi Tanzania Inspekta Jenerali Ernest  Mangu katika hafla ya kuwaapisha baadhi ya viongozi walioteuliwa na Mhe. Rais kushika nyazifa mbalimbali leo Ikulu jijini Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanznaia Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi  Tanzania Jenerali Venance S. Mabeyo ( kulia) mara baada ya hafla ya kumuapisha leo jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Mnadhimu wa Jeshi hilo Meja Jenerali  James Mwakibolwa, Rais wa Serikali ya Mapinduzi  Zanzibar Dkt. Mohamed Shein na Waziri Mkuu  Kassim Majaliwa.





No comments:

Post a Comment