Waziri
wa Maji na Umwagiliaji wa Tanzania Mhandisi Gerson Lwenge akizungumza wakati wa
sherehe za Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es Salaam. Sherehe hizo
zimeshirikisha takribani nchi 1o zinazozunguka mto Nile zikiwa na kauli mbiu
“Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo cha Nishati, Chakula na Maji kwa Wote”
Waziri
wa zamani katika Serikali ya Awamu ya Nne Profesa Mark Mwandosya akielezea
umuhimu wa Mto Nile wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es
Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha takribani nchi 1o zinazozunguka mto Nile
zikiwa na kauli mbiu “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo cha Nishati, Chakula na
Maji kwa Wote”
Mkurugenzi
Mtendaji wa Nile Basin Initiative Mhandisi Innocent Ntabana akizungumza wakati wa sherehe za Siku ya Mto
Nile leo Jijini Dar es Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha takribani nchi 10
zinazozunguka mto Nile zikiwa na kauli mbiu “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo
cha Nishati, Chakula na Maji kwa Wote” Kutoka Kulia ni Naibu Waziri wa Maji na
Umwagiliaji Mhandisi Isack Kamwele na Waziri wa zamani katika Serikali ya Awamu
ya Nne Profesa Mark Mwandosya
Balozi
Maalum wa Masuala ya Mto Bonde la Mto Nile kutoka Ofisi ya Mambo ya Nje ya
Ujerumani Rolf Welberts akizungumza wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo
Jijini Dar es Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha takribani nchi 1o
zinazozunguka mto Nile zikiwa na kauli mbiu “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo
cha Nishati, Chakula na Maji kwa Wote”
Waziri wa Maji na Umwagiliaji wa Tanzania Mhandisi
Gerson Lwenge akizungumza kabla ya kuanza maandamano ya amani wakati wa sherehe
za Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es Salaam. Maandamano hayo yalianzia katika
Viwanja vya Mnazi Mmoja na kuelekea hadi katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano
wa Mwalimu Julius Nyerere.
Waziri wa Maji wa Uganda ambaye pia ni Mwenyekiti wa
Jumuiya ya nchi zinzaozunguka Bonde la Mto Nile Bw. Sam Cheptoris
akiwatambulisha Mawaziri wa Maji kutoka nchi wanachama wakati wa sherehe za
Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha
takribani nchi 1o zinazozunguka mto Nile zikiwa na kauli mbiu “Mto wetu wa
pamoja Nile – Chanzo cha Nishati, Chakula na Maji kwa Wote”
Maandamano
yakiendelea wakati wa sherehe ya Siku ya Mto Nile ambayo imejumuisha nchi
takrinibani 10 zinazozunguka Bonde la Mto Nile, nchi hizo ni pamoja na Kenya,
Uganda, Burundi, Sudan, South Sudan, DR-Congo,Ethiopia, Rwanda,Somalia na
mwenyeji Tanzania.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu akipokea
maandamano mara baada ya kuwasili katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa
Mwalimu Julius Nyerere wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es
Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha takribani nchi 10 zinazozunguka mto Nile
ambazo ni pamoja na Kenya, Uganda, Burundi, Sudan, South Sudan,
DR-Congo,Ethiopia, Rwanda,Somalia na mwenyeji Tanzania. Kushoto ni Naibu Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula.
Waandamanaji
wakipita mbele ya Makamu wa Rais Samia Hassan Suluhu(hayupo pichani) huku
wakipunga mkono walipokuwa wakiwasili katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa
Mwalimu Julius Nyerere leo Jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu akipeana mkono
na Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Gerson Lwenge mara baada ya kupokea
maandamano baada ya kuwasili katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu
Julius Nyerere wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es Salaam.
Sherehe hizo zimeshirikisha takribani nchi 10 zinazozunguka mto Nile ambazo ni
pamoja na Kenya, Uganda, Burundi, Sudan, South Sudan, DR-Congo,Ethiopia,
Rwanda,Somalia na mwenyeji Tanzania. Kushoto ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba
na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu akimwagilia maji
mti alioupanda ikiwa ni kumbukumbu ya sherehe za Siku ya Nile mara baada ya
kupokea maandamano ya amani katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu
Julius Nyerere wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Maji wa Burundi akipanda mti kama kumbukumbu ya ya sherehe za Siku ya Nile
iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha takribani
nchi 10 zinazozunguka mto Nile ambazo ni pamoja na Kenya, Uganda, Burundi,
Sudan, South Sudan, DR-Congo,Ethiopia, Rwanda,Somalia na mwenyeji Tanzania.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu akisoma ujumbe kutoka katika mabongo yaliyobebwa na wanafunzi wa Shule ya msingi Uhuru Mchanganyiko ya Jijini Dar es Salaam mara baada ya kupokea maandamano ya amani katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu akipata maelezo
kuhusu Miradi mbalimbali inayotekelezwa kupitia Program ya Nile Basin
Initiative alipotembelea mabanda ya taasisi mbalimbali wakati wa sherehe za
Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya Mawaziri wa Maji kutoka nchi washirika wa Bonde la Mto Nile, pamoja na
baadhi ya Viongozi kutoka Tanzania wakiimba wimbo wa Taifa wakati wa sherehe za
Siku ya Nile zilizofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha
takribani nchi 10 zinazozunguka mto Nile ambazo ni pamoja na Kenya, Uganda,
Burundi, Sudan, South Sudan, DR-Congo,Ethiopia, Rwanda,Somalia na mwenyeji
Tanzania.
Wanafunzi
wa Shule ya Msingi Mlimani ya Jijini Dar es Salaam wakiimba ngojera mbele ya
mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan
Suluhu wakati wa sherehe za Siku ya Nile zilizofanyika leo katika ukumbi wa
Mwalimu Nyerere.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu akionyesha tuzo
aliyokabidhiwa wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es Salaam.
Sherehe hizo zimeshirikisha takribani nchi 10 zinazozunguka mto Nile ambazo ni
pamoja na Kenya, Uganda, Burundi, Sudan, South Sudan, DR-Congo,Ethiopia, Rwanda,Somalia
na mwenyeji Tanzania.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu akimkabidhi tuzo
Waziri wa zamani wa Serikali ya Awamu ya Nne Profesa Mark Mwandosya wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo
Jijini Dar es Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha takribani nchi 10
zinazozunguka mto Nile ambazo ni pamoja na Kenya, Uganda, Burundi, Sudan, South
Sudan, DR-Congo,Ethiopia, Rwanda,Somalia na mwenyeji Tanzania. Kushoto ni Waziri
wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Gerson Lwenge.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Samia Hassan Suluhu akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri kutoka nchi
Washirika wa Jumuiya ya Watumia Maji ya
Mto Nile, wakati wa sherehe za Siku ya Nile leo Jijini Dar es Salaam.
Sherehe hizo zimeshirikisha takribani nchi 10 zinazozunguka mto Nile ambazo ni
pamoja na Kenya, Uganda, Burundi, Sudan, South Sudan, DR-Congo,Ethiopia,
Rwanda,Somalia na mwenyeji Tanzania.
No comments:
Post a Comment