Kamanda wa polisi
mkoani Geita mponjoli mwabulambo akiongea na waandishi wa habari.
KUHABARISHA NA KUFAHAMISHA KUHUSU HABARI NA MAMBO YANAYOENDELEA KATIKA JAMII YA GEITA, KANDA YA ZIWA, TAIFA NA DUNIANI. TUTUMIE HABARI AU WASILIANA NASI KUPITIA info@stormfm.co.tz au +255 685 883 870
Tuesday, 28 February 2017
Monday, 27 February 2017
WAKAZI WA KATA YA BUSERESERE MKOANI GEITA WAIOMBA SERIKALI KUBORESHA MIUNDOMBINU
PICHA: MKUU WA JESHI LA ULINZI TANZANIA ALA KIAPO CHA UADILIFU KWA VIONGOZI WA UMMA
Kamishna
wa Maadili kutoka Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu
Harold Nsekela akimpokea Mkuu wa Jeshi la Ulinzi Tanzania(CDF), Jenerali
Venance Salvatory Mabeyo alipowasili katika Ofis za Sekretari hiyo kwa ajili ya
kula kiapo cha Uadilifu leo Jijini Dar es Salaam
Kamishna
wa Maadili kutoka Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu
Harold Nsekela(wapili kushoto) akimkaribisha Mkuu wa Jeshi la Ulinzi Tanzania
(CDF), Jenerali Venance Salvatory Mabeyo alipowasili katika Ofis za Sekretari
hiyo kwa ajili ya kula Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma leo Jijini Dar
es Salaam.
Mkuu
wa Jeshi la Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Venance Salvatory Mabeyo akila Kiapo
cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma leo Jijini Dar es Salaam. Kulia anayeshuhudia
ni Kamishna wa Maadili wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji
Mstaafu Harold Nsekela leo Jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa Jeshi la Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Venance Salvatory Mabeyo akitia
saini katika Hati ya Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma leo Jijini Dar es
Salaam. Kulia anayeshuhudia ni Kamishna wa Maadili wa Sekretarieti ya Maadili
ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu Harold Nsekela leo Jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa Jeshi la Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Venance Salvatory Mabeyo akipokea Hati
ya Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma kutoka kwa Kamishna wa Maadili wa
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu Harold Nsekela leo
Jijini Dar es Salaam.
Mnadhimu
Mkuu wa Jeshi la Ulinzi Tanzania, Luteni Jenerali James Alois Mwakibolwa akila
Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma leo Jijini Dar es Salaam. Kulia
anayeshuhudia ni Kamishna wa Maadili wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa
Umma, Jaji Mstaafu Harold Nsekela leo Jijini Dar es Salaam.
Mnadhimu
Mkuu wa Jeshi la Ulinzi Tanzania, Luteni Jenerali James Alois Mwakibolwa akitia
saini katika Hati ya Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma leo Jijini Dar es
Salaam. Kulia anayeshuhudia ni Kamishna wa Maadili wa Sekretarieti ya Maadili
ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu Harold Nsekela leo Jijini Dar es Salaam.
Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi Tanzania,
Luteni Jenerali James Alois Mwakibolwa akipokea Hati ya Kiapo cha Uadilifu kwa
Viongozi wa Umma kutoka kwa Kamishna wa Maadili wa Sekretarieti ya Maadili ya
Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu Harold Nsekela leo Jijini Dar es Salaam.
Mnadhimu
MKuu wa Jeshi la Ulinzi Tanzania, Luteni Jenerali James Alois Mwakibolwa
akielezea jambo nje ya Ofisi za Sekretairieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, mara
baada ya kula Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma leo Jijini Dar es Salaam.
SPIKA AWAAHIDI CHAMA CHA SKAUTI TANZANIA USHIRIKIANO
Spika wa
Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Viongozi wa Kamati Tendaji ya
Skauti waliomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam mapema leo. Wa
pili kushoto kwake ni Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Tenkonolojia
Mhe Eng. Stella Manyanya (Mb) na anayefutia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji
ya Skauti Tanzania Balozi Nicholas Kuhanga.
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Tenkonolojia
Mhe Eng. Stella Manyanya (Mb) aliyeambatana na Viongozi wa Kamati Tendaji ya
Skauti Tanzania akimueleza jambo Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai wakati
walipotembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji ya Skauti
Tanzania Balozi Nicholas Kuhanga akimueleza jambo Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai
wakati walipomtembelea ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (aliyekaa kulia)
na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Tenkonolojia Mhe Eng. Stella
Manyanya (Mb) katika picha ya pamoja na Viongozi wa Kamati Tendaji ya Skauti
Tanzania mara baada ya kuzungumza nao Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Friday, 24 February 2017
RAIS MSTAAFU ALLY MWINYI KATIKA SHEREHE YA UHURU WA KUWAIT JIJINI DAR ES SALAAM
Rais Mstaafu Alhaj Ally
Hassan Mwinyi akipokea zawadi ya mchoro toka kwa Balozi wa Kuwait nchini Mhe.
Jasem al Najem katika hafla ya kusherehekea Miaka 54 ya Uhuru wa nchi ya Kuwait
na miaka 26 ya mapambano ya ukombozi katika ubalozi wa nchi hiyo Oysterbay
jijini Dar es salaam usiku huu. Kushoto ni waziri wa mambo ya nchi za nje Dkt.
Andrew Mahiga
Rais Mstaafu Alhaj Ally
Hassan Mwinyi akikata keki na Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem al Najem
katika hafla ya kusherehekea Miaka 54 ya Uhuru wa nchi ya Kuwait na miaka 26 ya
mapambano ya ukombozi katika ubalozi wa nchi hiyo Oysterbay jijini Dar es salaam
usiku huu. Kushoto ni waziri wa mambo ya nchi za nje Dkt. Andrew Mahiga
Rais Mstaafu Alhaj Ally
Hassan Mwinyi akikata keki na Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem al Najem
katika hafla ya kusherehekea Miaka 54 ya Uhuru wa nchi ya Kuwait na miaka 26 ya
mapambano ya ukombozi katika ubalozi wa nchi hiyo Oysterbay jijini Dar es
salaam usiku huu. Kushoto ni waziri wa mambo ya nchi za nje Dkt. Andrew Mahiga
Keki ya hafla hiyo ya
kusherehekea Miaka 54 ya Uhuru wa nchi ya Kuwait na miaka 26 ya mapambano ya
ukombozi katika ubalozi wa nchi hiyo Oysterbay jijini Dar es salaam usiku
huu.
Rais Mstaafu Alhaj Ally Hassan
Mwinyi akiwa katika hafla ya kusherehekea Miaka 54 ya Uhuru wa nchi ya Kuwait
na miaka 26 ya mapambano ya ukombozi katika ubalozi wa nchi hiyo Oysterbay
jijini Dar es salaam usiku huu. Kulia kwake ni waziri wa mambo ya nchi za
nje Dkt. Andrew Mahiga.
UTAFITI WA VIASHIRIA NA MATOKEO YA UKIMWI KUFANYIKA MKOANI GEITA
Afisa
mawasiliano na umasishaji wa jamii la haika,Mihayo Bupamba akitoa maelekezo kwa
wajumbe wakati wa Mkutano huo.
Afisa
mawasiliano na umasishaji wa jamii la haika,Mihayo Bupamba,akitoa elimu kwa
wajumbe juu ya zoezi la utafiti.
Mkuu wa
Mkoa wa Geita,Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga akitoa takwimu za Ukimwi
zilivyo katika hapa nchini.
Wajumbe
wakifatilia Mkutano.
Mkuu wa
Mkoa wa Geita akiendelea kutoa maelezo.
Wednesday, 22 February 2017
PICHA: MAMA SAMIA SULUHU ANEEMISHA SHEREHE ZA SIKU YA MTO NILE, JIJINI DSM
Waziri
wa Maji na Umwagiliaji wa Tanzania Mhandisi Gerson Lwenge akizungumza wakati wa
sherehe za Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es Salaam. Sherehe hizo
zimeshirikisha takribani nchi 1o zinazozunguka mto Nile zikiwa na kauli mbiu
“Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo cha Nishati, Chakula na Maji kwa Wote”
Waziri
wa zamani katika Serikali ya Awamu ya Nne Profesa Mark Mwandosya akielezea
umuhimu wa Mto Nile wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es
Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha takribani nchi 1o zinazozunguka mto Nile
zikiwa na kauli mbiu “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo cha Nishati, Chakula na
Maji kwa Wote”
Mkurugenzi
Mtendaji wa Nile Basin Initiative Mhandisi Innocent Ntabana akizungumza wakati wa sherehe za Siku ya Mto
Nile leo Jijini Dar es Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha takribani nchi 10
zinazozunguka mto Nile zikiwa na kauli mbiu “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo
cha Nishati, Chakula na Maji kwa Wote” Kutoka Kulia ni Naibu Waziri wa Maji na
Umwagiliaji Mhandisi Isack Kamwele na Waziri wa zamani katika Serikali ya Awamu
ya Nne Profesa Mark Mwandosya
Balozi
Maalum wa Masuala ya Mto Bonde la Mto Nile kutoka Ofisi ya Mambo ya Nje ya
Ujerumani Rolf Welberts akizungumza wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo
Jijini Dar es Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha takribani nchi 1o
zinazozunguka mto Nile zikiwa na kauli mbiu “Mto wetu wa pamoja Nile – Chanzo
cha Nishati, Chakula na Maji kwa Wote”
Waziri wa Maji na Umwagiliaji wa Tanzania Mhandisi
Gerson Lwenge akizungumza kabla ya kuanza maandamano ya amani wakati wa sherehe
za Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es Salaam. Maandamano hayo yalianzia katika
Viwanja vya Mnazi Mmoja na kuelekea hadi katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano
wa Mwalimu Julius Nyerere.
Waziri wa Maji wa Uganda ambaye pia ni Mwenyekiti wa
Jumuiya ya nchi zinzaozunguka Bonde la Mto Nile Bw. Sam Cheptoris
akiwatambulisha Mawaziri wa Maji kutoka nchi wanachama wakati wa sherehe za
Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha
takribani nchi 1o zinazozunguka mto Nile zikiwa na kauli mbiu “Mto wetu wa
pamoja Nile – Chanzo cha Nishati, Chakula na Maji kwa Wote”
Maandamano
yakiendelea wakati wa sherehe ya Siku ya Mto Nile ambayo imejumuisha nchi
takrinibani 10 zinazozunguka Bonde la Mto Nile, nchi hizo ni pamoja na Kenya,
Uganda, Burundi, Sudan, South Sudan, DR-Congo,Ethiopia, Rwanda,Somalia na
mwenyeji Tanzania.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu akipokea
maandamano mara baada ya kuwasili katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa
Mwalimu Julius Nyerere wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es
Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha takribani nchi 10 zinazozunguka mto Nile
ambazo ni pamoja na Kenya, Uganda, Burundi, Sudan, South Sudan,
DR-Congo,Ethiopia, Rwanda,Somalia na mwenyeji Tanzania. Kushoto ni Naibu Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula.
Waandamanaji
wakipita mbele ya Makamu wa Rais Samia Hassan Suluhu(hayupo pichani) huku
wakipunga mkono walipokuwa wakiwasili katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa
Mwalimu Julius Nyerere leo Jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu akipeana mkono
na Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Gerson Lwenge mara baada ya kupokea
maandamano baada ya kuwasili katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu
Julius Nyerere wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es Salaam.
Sherehe hizo zimeshirikisha takribani nchi 10 zinazozunguka mto Nile ambazo ni
pamoja na Kenya, Uganda, Burundi, Sudan, South Sudan, DR-Congo,Ethiopia,
Rwanda,Somalia na mwenyeji Tanzania. Kushoto ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba
na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu akimwagilia maji
mti alioupanda ikiwa ni kumbukumbu ya sherehe za Siku ya Nile mara baada ya
kupokea maandamano ya amani katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu
Julius Nyerere wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Maji wa Burundi akipanda mti kama kumbukumbu ya ya sherehe za Siku ya Nile
iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha takribani
nchi 10 zinazozunguka mto Nile ambazo ni pamoja na Kenya, Uganda, Burundi,
Sudan, South Sudan, DR-Congo,Ethiopia, Rwanda,Somalia na mwenyeji Tanzania.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu akisoma ujumbe kutoka katika mabongo yaliyobebwa na wanafunzi wa Shule ya msingi Uhuru Mchanganyiko ya Jijini Dar es Salaam mara baada ya kupokea maandamano ya amani katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu akipata maelezo
kuhusu Miradi mbalimbali inayotekelezwa kupitia Program ya Nile Basin
Initiative alipotembelea mabanda ya taasisi mbalimbali wakati wa sherehe za
Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya Mawaziri wa Maji kutoka nchi washirika wa Bonde la Mto Nile, pamoja na
baadhi ya Viongozi kutoka Tanzania wakiimba wimbo wa Taifa wakati wa sherehe za
Siku ya Nile zilizofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha
takribani nchi 10 zinazozunguka mto Nile ambazo ni pamoja na Kenya, Uganda,
Burundi, Sudan, South Sudan, DR-Congo,Ethiopia, Rwanda,Somalia na mwenyeji
Tanzania.
Wanafunzi
wa Shule ya Msingi Mlimani ya Jijini Dar es Salaam wakiimba ngojera mbele ya
mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan
Suluhu wakati wa sherehe za Siku ya Nile zilizofanyika leo katika ukumbi wa
Mwalimu Nyerere.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu akionyesha tuzo
aliyokabidhiwa wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo Jijini Dar es Salaam.
Sherehe hizo zimeshirikisha takribani nchi 10 zinazozunguka mto Nile ambazo ni
pamoja na Kenya, Uganda, Burundi, Sudan, South Sudan, DR-Congo,Ethiopia, Rwanda,Somalia
na mwenyeji Tanzania.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Hassan Suluhu akimkabidhi tuzo
Waziri wa zamani wa Serikali ya Awamu ya Nne Profesa Mark Mwandosya wakati wa sherehe za Siku ya Mto Nile leo
Jijini Dar es Salaam. Sherehe hizo zimeshirikisha takribani nchi 10
zinazozunguka mto Nile ambazo ni pamoja na Kenya, Uganda, Burundi, Sudan, South
Sudan, DR-Congo,Ethiopia, Rwanda,Somalia na mwenyeji Tanzania. Kushoto ni Waziri
wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Gerson Lwenge.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Samia Hassan Suluhu akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri kutoka nchi
Washirika wa Jumuiya ya Watumia Maji ya
Mto Nile, wakati wa sherehe za Siku ya Nile leo Jijini Dar es Salaam.
Sherehe hizo zimeshirikisha takribani nchi 10 zinazozunguka mto Nile ambazo ni
pamoja na Kenya, Uganda, Burundi, Sudan, South Sudan, DR-Congo,Ethiopia,
Rwanda,Somalia na mwenyeji Tanzania.
ASKOFU GADI AMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KUMTEUA KAMISHNA WA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA
NHIF YAKUTANA NA WADAU NA KUHAIDI KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA
Mwenyekiti
wa Bodi NHIF na Spika mstaafu wa Bunge mama Anna Makinda akisisitiza juu
ya huduma kuboreshwa katika mfuko wa Bima ya afya wa Taifa
Mkuu wa
Mkoa wa Geita,Meja jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga akiwa na mwenyekiti wa Bodi
ya NIHF wakisikiliza kwa makini taarifa ya Mkoa wa Geita juu ya mfuko wa bima
ya afya
Mkuu wa
Mkoa wa Geita Meja jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga akifungua mkutano wa
wadau wa Mfuko wa Bima wa Taifa Mkoani Humo
Subscribe to:
Posts (Atom)