Monday 7 March 2016

USIKU WA MWANAHABARI JOEL MADUKA NA MISS DEBORA MKAMA WAFANA JIJINI MWANZA.






















Mwanahabari na Mtangazaji wa Radio Storm Fm ya Mkoani Geita ambae pia ni Mkazi wa Igoma Jijini Mwanza, Joel Maduka jana March 05,2016 amefunga pingu za Maisha na Miss Debora Jackson Roska Mkama, Mkazi wa Lumala Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza.


Ndoa ilifungwa katika Kanisa la AICT Igoma na baadae sherehe kuhamia katika Ukumbi wa Mwanza Youth Centre uliopo Mlango Mmoja Jijini Mwanza.

No comments:

Post a Comment