Wednesday 28 June 2017

BAKWATA WASIKITISHWA NA UHAKIKI WA VYETI SIKU YA EID MOSI MKOANI GEITA


Mkuu wa Wilaya ya Geita Ambaye ndiye alikuwa mgeni Rasmi Mwl Herman Kapufi akielezea juu ya misingi na uhuru wa kuabudu.



Ayoub Bwanamadi akisoma Risala mbele ya mgeni Rasmi.



 Sheikh Mkuu wa Mkoa huo,Alhaji  Yusufu Kabaju akielezea kusikitishwa kwake na taarifa za watumishi kufanya kazi siku kuu ya idd.

JOKHA KASSIMU/DADAS NG’ARI NG’ARI WAITENDEA HAKI IDD MOSI GEITA


Wakina dada wakionesha shughuli Pevu stejini kwenye show kabambe iliyoandaliwa na 88.9 Storm fm
"Watu hoyooooooooooooooooooooooooooo"



Dj,KG kutoka 88.9 Storm fm akisababisha kwenye moja na mbili.


Wasema chochote kwenye Shughuli Baby Mama Pamoja na Idrissa Salum Mwanakwetu wakiendelea kukinukisha zaidi.

"Nimetembee tembee nimeikuta hadithi hadithiii yaaaa hadithi yaheee Mama"


Bi,Jokha Kassimu akitumbuhiza zaidi.




Thursday 22 June 2017

WAIZRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMEZINDUA JENGO JIPYA LA TRA WILAYANI CHATO, GEITA

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akikata utepe kama ishara ya kufungua jengo jipya la ofisi ya TRA, Wilaya ya Chato, Mkoani Geita katika ufunguzi uliofanyika leo mjini Chato.


Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa  akipiga makofi baada ya kuwa amekata utepe ambao unaashiria kufunguliwa kwa Jengo la mamlaka ya mapato Wilayani Chato.



Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akihutubia wananchi wa Chato wakati wa ufunguzi wa jengo la TRA wilayani humo mkoani Geita leo. 


Jengo la mamlaka ya mapato(TRA)Wilayani Chato.

Waziri Mkuu,akiwapongeza na kutoa zawadi kwa kwaya ya Mwagazege  ambao walikuwa wakiimba nyimbo ya kuipongeza serikali ya awamu ya Tano kwa kuendelea kutekeleza Ilani ya chama cha mapinduzi(CCM)


Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga wakipongeza kikundi cha Kwaya kwa wimbo mzuri.

Mkuu wa Wilaya ya Chato,Shaaban Ntarambe akitambulisha wageni ambao walikuwepo kwenye viwanja hivyo.



Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Geita.

Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa na Mkuu wa Wilaya ya Chato.

Mbunge wa Chato ambaye pia ni Naibu waziri wa Nishati na Madini,Dk Medadi Kalemani akizungumza na wananchi.
Kamishna Mkuu wa TRA Charles Kichere akitoa maelezo ya mradi wa ujenzi wa ofisi ya TRA katika uzinduzi wa ofisi hiyo uliofanyika leo katika wilaya ya Chato, mkoa wa Geita


Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa,amesema kuwa kila mwananchi wa Tanzania anawajibika kulipa kodi kwaajili ya ujenzi wa Taifa na kwamba uchumi  utajengwa na watanzania kwa kufanya kazi kwa bidii na kwa uadilifu mkubwa kwani kufanya hivyo itawaza kusaidia upatikanaji mkubwa wa kodi.

Wednesday 21 June 2017

SERIKALI MKOANI GEITA YAFUNGA MGODI WA NYAMAHUNA




Mkuu wa Wilaya ya Geita,Mwl Herman Kapufi akitoa maagizo kwa afisa Madini wa Mkoa wa Geita na Mkuu wa Polisi Wilayani humo wakati wa Mkutano wa hadhara 

Wananchi  wa Kijiji cha Nyamtondo Kata ya Kaseme Wilaya na Mkoa wa Geita  Wamesikitishwa na kitendo cha mwekezaji wa Mgodi wa Nyamahuna  unao milikiwa na  Albert  Ruzika kushindwa kutekeleza agizo la serikali la kujenga visima vitatu vya maji kijijini hapo.

Tuesday 20 June 2017

MBUNGE WA JIMBO LA BUKOMBE DOTTO BITEKO APOKELEW KWA SHANGWE






Mbunge wa Jimbo la Bukombe Mhe. Doto  Mashaka Biteko  amewaomba wananchi wa Jimbo lake kuwa na Imani naye kwani yeye ndiye mwakilishi wao kwa sasa  huku akiwaomba na kuwasihi wazidi kumuombea Rais Magufuli kwa kazi ngumu anayoifanya ya kuwatetea wanyonge pamoja na maslahi ya Taifa kwa ujumla.

WACHIMBAJI WADOGO WAVAMIA MGODI WA BAKRIF GEITA



Wachimbaji wadogo wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Geita wakati alipokuwa akitoa maagizo.



Mkuu wa Wilaya ya Geita Mwl Herman Kapufi akizungumza na Baadhi ya wachimbaji wadogo kwenye mgodi wa Bakrif  uliopo kwenye Kata ya Lwamgasa



Zaidi ya wachimbaji mia moja (100) wa kata ya Lwamgasa Wilayani Geita wamevamia kwenye maeneo ya Mgodi wa Bakriff na kuanza shughuli za uchimbaji kwa madai kuwa mwekezaji amemaliza muda wake ana hataki kuwapatia fidia ya maeneo yao.

Monday 19 June 2017

SERIKALI HAITACHUA HATUA KWA CHOMBO CHA HABARI KINACHOKOSOA


Serikali imesema kuwa hakuna chombo chochote cha habari kitakachochukuliwa hatua kwa kuandika habari zenye mrengo wa kukosa sera na utekelezaji wake kama ambavyo wadau wengi wamekuwa wakiaminisha umma.

PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 50, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO JUNI 19, 2017



Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel  akiwa na Naibu Katibu wa Wizara hiyo Bi.Nuru Millao na Viongozi Waandamizi wa Wizara  wakifuatilia mijadala mbalimbali katika kikao cha hamsini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.


Wabunge  kutoka Bunge la Msumbiji ambao ni wajumbe wa kamati ya Serikali za Mitaa kwa ambao wamekuja kwa  ziara ya mafunzo wakiwa katika picha ya pamoja katika viwanja vya Bunge leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.


Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Zungu akiongoza    kikao cha hamsini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.


Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira na Muungano) Mhe.Luhaga Mpina  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha hamsini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.


Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe.Hamad Masauni akifafanua jambo katika kikao cha hamsini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.


Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha hamsini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.


Naibu Waziri wa Kilimo ,Mifugo na Uvuvi Mhe.William Ole Nasha  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao katika kikao cha hamsini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.


Naibu Waziri wa Elimu ,Sayansi na Teknolojia Mhe.Eng Stella Manyanya akiteta jambo na Mbunge wa Mkuranga Mhe. Abdallah Ulega katika kikao cha hamsini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.


Maafisa habari wa chama cha Public Relations Society of Tanzania (PRST) kutoka Jijini Mwanza  wakifuatilia kwa makini shughuli za Bunge  katika kikao cha hamsini cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Juni 19, 2017.






Thursday 15 June 2017

RIPOTI YA TWAWEZA: RAIS MAGUFULI AMESHUKA UMAARUFU KUTOKA ASILIMIA 96 MWEZI JUNI MWAKA JANA HADI ASILIMIA 71 YA JUNE MWAKA HUU



Asilimia 71 ya wananchi wanaukubali utendaji wa Rais Magufuli tangu alipoingia madarakani. Kiwango hiki kimeshuka kutoka asilimia 96 mwezi Juni 2016.  Viwango vya kukubalika kwa Rais vinatofautiana katika makundi mbalimbali

MHE.KIGWANGALLA AZINDUA RIPOTI YA WATOTO LEO MJINI DODOMA



Mkurugenzi  wa Watoto Bi Margareth Mussai akiwa na wabunge wa Viti Maalum Bi Fatma Taufiq, Kiteto Koshuma na Bi.Suzan Lyimo katika kongamano la Watoto,Wazazi/Walezi na Wadau katika kuadhimisha siku ya Mtoto wa Afrika iliyofanyika Mkoani Dodoma.



Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto(Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii Bi Sihaba Nkinga akisoma kipeperushi katika banda la UNICEF  katika kongamano la Watoto,Wazazi/Walezi na Wadau katika kuadhimisha siku ya Mtoto wa Afrika iliyofanyika Mkoani Dodoma.



Naibu Waziri Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Dk Khamis Kigwangalla akipata maelezo baada ya kutembelea banda la Plan Internaltional katika kongamano la Watoto,Wazazi/Walezi na Wadau katika kuadhimisha siku ya Mtoto wa Afrika iliyofanyika Mkoani Dodoma.