Tuesday 29 March 2016

RAIS MAGUFULI AWASILI LEO WILAYANI CHATO MKOANI GEITA KWA MARA YA KWANZA TANGU ACHAGULIWE KUWA RAIS.



Wakazi wa vitongoji mbalimbali wilayani Chato mkoa wa Geita,wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli ambaye amewasili leo mjini humo alikozaliwa.Rais Dkt Magufuli amewasili wilayani Chato kwa mara ya kwanza tangu awe Rais.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya wakazi wa wilaya ya Chato Mkoani Geita mapema leo.

No comments:

Post a Comment