Wednesday 9 March 2016

AJALI MBAYA YAUA NA KUJERUHI WATU KADHAA JIJINI DAR ES SALAAM.



Ajali mbaya iliyohusisha daladala na malori mawili yaua watu kadhaa jijini dar es salaam
ajali mbaya imetokea leo asubuhi eneo la tabata matumbi jijini dar es salaam ikihusisha malori mawili na daladala iliyo kuwa ikitokea gongo la mboto kuelekea ubungo.


 
Abiria kadhaa wamepoteza maisha na wengine wengi wamejeruhiwa vibaya. 


No comments:

Post a Comment