Sunday 6 March 2016

RAISI MAGUFULI AMTANGAZA KATIBU MKUU KIONGOZI MPYA.


Katibu mkuu kiongozi mpya, balozi John William Kijazi.


Aliyekuwa Katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue. 






Kutoka Ikulu Dar es salaam leo March 6  2016, ni uteuzi mpya uliofanywa na Rais John Pombe Magufuli kwa kumteua Balozi Mhandisi John William Kijazi kuwa Katibu Mkuu kiongozi ambapo kabla ya uteuzi huo Mhandisi Kijazi alikuwa Balozi wa Tanzania nchini India.


Kufuatia uteuzi huo, Rais Magufuli amesema aliyekuwa katibu mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue atapangiwa kazi nyingine.

No comments:

Post a Comment