Tuesday 1 March 2016

RAISI MAGUFULI AMLAKI RAIS MUSEVENI WA UGANDA JIJINI ARUSHA LEO.


Raisi Museveni akifafanua jambo fulani kwa waandishi wa habari.
Dkt.Magufuli akijadili jambo na Raisi Museveni.



Raisi Magufuli akitoa ufafanuzi kuhusu jambo fulani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Joseph Magufuli na Rais wa Uganda Mh.Yoweri Kaguta Museveni wamefanya mazungumzo leo kwenye  Ikulu Ndogo ya Arusha jijini Arusha mara tu baada ya Kiongozi huyo wa Uganda kuwasili jijini humo na kuhudhuria Mkutano wa 7 wa Kawaida wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki. 

No comments:

Post a Comment