Tuesday 1 March 2016

WACHIMBAJI WADOGO WADOGO MKOANI GEITA WAITUPIA LAWAMA SERIKALI.

Baadhi ya wachimbaji wakiendelea na shughuli za uchimbaji.

Wakazi wa kata ya Nyarugusu wilayani na mkoani Geita wameitupia lawama serikali kwa kushindwa kuwatengea  maeneo wachimbaji wadogo wadogo.


Wakizungumza na storm habari baadhi ya wachimbaji katika ofisi ya serikali ya kata  hiyo wamesema kuwa serikali imekuwa ikiwafukuza katika maeneo ya machimbo na huku ikiwa  imeshindwa kuwapatia maeneo ya kufanyia kazi


Aidha kwa upande wake diwani wa kata hiyo Bw.Swalehe Juma amewataka wananchi hao kuwa na subira  pamoja na kuwa serikali ya awamu ya nne iliwa ahidi kuwapatia maeneo ya uchimbaji lakini mpaka sasa hawajapatiwa maeneo hayo

No comments:

Post a Comment