Waziri wa Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo mhe. Nape Moses Nnauye (wa pili kulia) akijadiliana
jambo na Mkurugenzi wa Mawasiliano kutoka Airtel Tanzania Bi. Beatrice Singano
(wa pili kushoto) wakati akiwasili katika Uwanja wa Karume kuhitimisha mashindano
ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Star Septemba 11, 2016
kushoto ni Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania Bw. Jamali Malinzi.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (wa
pili kulia) akijadiliana jambo na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania
Bw. Jamali Malinzi wakati wa hitimisho la mashindano ya Vijana chini ya umri wa
miaka 17 ya Airtel Rising Star Septemba 11, 2016.
Mkurugenzi wa Airtel Tanzania Bw. Sunil Colaso akizungumza kuhusu
maendeleo ya mashindano ya Airtel Rising Star wakati wa hitimisho la mashindano
hayo ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 katika Uwanja wa Karume Jijini Dar es
Salaam Septemba 11, 2016.
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania Bw. Jamali Malinzi akitoa
salamu kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye wakati wa hafla ya hitimisho la mashindano ya
Vijana chini ya umri wa miaka 17 Airtel Rising Star katika Uwanja wa
Karume Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye
akizungumza na wanamichezo, wadau wa michezo na wanahabari kabla ya kushuhudia
fainali ya mashindano hayo yiliyohitimisha mashindano hayo kwa Vijana chini ya
umri wa miaka 17 Airtel Rising Star katika Uwanja wa Karume Jijini
Dar es Salaam Septemba 11, 2016.
Waziri wa Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akikagua wachezaji wa timu ya
Morogoro Boys kabla ya kuanza kwa fainali kati yao na timu ya Ilala
iliyofanyika katika Uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016.
Waziri wa Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akikabidhi kikombe kwa
nahodha wa Timu ya wasichana ya Temeke walioibuka washindi wa mashindano ya
Vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Star kwa upande wa wasichana
katika Uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye
akikabidhi kikombe kwa nahodha wa Timu ya wavulana ya Morogoro
walioibuka washindi wa mashindano ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel
Rising Star kwa upande wa wavulana katika Uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam
Septemba 11, 2016.
Timu ya wasichana ya
Temeke wakishangilia ushindi wao wakishangilia ushindi wao walioupata katika
mashindano ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Star kwa upande
wa wasichana kwa kuwafunga Timu ya temeke kwa mikwaju ya penati katika Uwanja
wa Karume Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016.
Timu ya wavulana ya Morogoro wakishangilia ushindi wao wakishangilia
ushindi wao walioupata katika mashindano ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 ya
Airtel Rising Star kwa upande wa wavulana kwa kuwafunga Timu ya Ilala kwa goli
moja kwa bila katika Uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam Septemba
11, 2016.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwa
katika picha ya pamoja na Timu ya wavulana ya Morogoro mara baada ya
kumalizika kwa mshindano ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising
Star yaliyofanyika katika Uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam
Septemba 11, 2016.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwa
katika picha ya pamoja na Timu ya wavulana ya Ilala mara baada ya kumalizika
kwa mshindano ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Star
yaliyofanyika katika Uwanja wa Karume Jijini Dar es Salaam Septemba
11, 2016.
No comments:
Post a Comment