Alisema
mshitakiwa Nyingati amekutwa na hatia ya kuomba rushwa ya Sh
130,000 kutoka kwa Marco Elias aweze kumdahili mtoto wake aliyekuwa
amehitimu masomo ya shule ya msingi kinyume na sheria.
Hakimu Kurwijila
alisema ushahidi ulitolewa mahakamani pande zote mbele ya
waendesha mashitaka kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kudhibiti Rushwa Tanzania
(Takukuru), Kelvin Murusuri na Husna Kiboko umejitosheleza na kumtia
hatiani mwalimu Nyingati.
Alisema mahakama
inamhukumu mwalimu Nyingati kwenda jela miaka mitatu au kulipa faini ya Sh
milioni 1.6 kwa kuwa alitenda kosa la kuomba na kupokea rushwa.
No comments:
Post a Comment