Baadhi ya Wabunge wakiingia katika ukumbi wa bunge
kuhudhuria mkutano wa nne(4) wa bunge la
kumi na moja (11) la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe.Job Ndugai akiingia kwenye ukumbi wa Bunge kwa ajili ya kuendesha
mkutano wa nne(4) wa bunge la kumi na
moja (11) la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe.Job Ndugai Akiwaongoza Wabunge wa kuimba wimbo wa Taifa wakati wa
mkutano wa nne(4) wa bunge la kumi na
moja (11) la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
wakiwa katika ukumbi wa bunge wakati wa mkutano wa nne(4) wa bunge la kumi na moja (11) la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. George Masaju
akimueleza jambo Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim
Majaliwa wakati wa mkutano wa nne(4)
wa bunge la kumi na moja (11) la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe.
Selemani Said Jafo (MB) akieleza mpango wa kuendelea kuimarisha hospitali za
Serikali Nchini.
Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah
akiwaeleza jambo Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. George Masaju na Waziri Wa
Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira, Vijana,Wazee na Wenye Ulemavu wakati wa
mkutano wa nne(4) wa bunge la kumi na
moja (11) la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini Dodoma.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Mhe. Nape Nnauye (MB) akieleza mipango ya Serikali katika kuimarisha michezo
nchini na kuwataka wadau mbalimbali kujitokeza kusaidiana na Serikali kuwekeza
katika Michezo.
Mbunge wa Jimbo la Chemba Mhe. Juma Nkamia akiwaeleza
jambo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (MB) na
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais(Muungano na Mazingira) Mhe. January
Makamba (MB), wakati wa mkutano wa nne(4) wa
bunge la kumi na moja (11) la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Mjini
Dodoma.
No comments:
Post a Comment