Waziri wa Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akisalimiana na Katibu Mkuu
wa Wizara yake Prof Elisante Ole Gabriel mara baada ya kuwasili katika Uwanja
wa Taifa kwa ajili ya kukabidhiwa rasmi mageti yanayotumia mfumo wa mashine za
tiketi za kieletroniki katika Uwanja huo Jijini Dar es Salaam Septemba 11,
2016.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye
akikata utepe kuashiria kuanza kutumika rasmi kwa mageti yanayotumia mfumo wa
mashine za tiketi za kieletroniki katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam
Septemba 11, 2016.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye
akiweka kadi katika moja ya geti linalotumia mfumo wa mashine za
tiketi za kieletroniki tayari kuingia katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es
Salaam Septemba 11, 2016.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye
akipita katika moja ya geti linalotumia mfumo wa mashine za tiketi za
kieletroniki katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye
akizungumza na watendaji wa Wizara yake, wadau wa michezo,
wanamichezo na wanahabari mara baada ya kukabidhiwa na kuzindua rasmi mageti
yanayotumia mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki katika Uwanja huo Jijini
Dar es Salaam Septemba 11, 2016.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Elisante
Ole Gabriel akizungumzia mradi wa mageti yanayotumia mfumo wa mashine za tiketi
za kieletroniki katika hafla iliyofanyika katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es
Salaam Septemba 11, 2016.
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Bw. Jamali Malinzi
akitoa salamu za wadau wa mchezo wa mpira wa miguu kwa Waziri wa Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye wakati wa hafla ya
mkabidhiano ya mageti yanayotumia mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki
kwa Serikali katika Uwanja huo Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016.
Mkurugenzi wa Kampuni ya BCEG Bw. Cheng Long Hai akizungumzia
utekelezaji wa mradi wa mageti yanayotumia mfumo wa mashine za tiketi za
kieletroniki uliotekelezwa na kampuni yake kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye wakati wa hafla ya mkabidhiano ya mageti hayo
yaliyofanyika katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016.
Mhandisi Mshauri wa mradi wa mageti yanayotumia mfumo wa mashine za
tiketi za kieletroniki Mhandisi Aloyce Mushi akieleza changamoto mbalilmbali
kuhusu mradi huo kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape
Moses Nnauye wakati wa hafla ya mkabidhiano ya mageti hayo yaliyofanyika katika
Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Elisante
Ole Gabriel pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya BCEG Bw. Cheng Long Hai wakitia
saini hati za makabidhiano ya mageti yanayotumia mfumo wa mashine za tiketi za
kieletroniki katika hafla iliyofanyika Septemba 11, 2016 katika
Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Elisante
Ole Gabriel pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya BCEG Bw. Cheng Long Hai
wakionesha hati za makabidhiano ya mageti yanayotumia mfumo wa mashine za
tiketi za kieletroniki katika hafla iliyofanyika Septemba 11, 2016
katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye
akipokea kadi za kuingia katika Uwanja wa Taifa kwa ajili ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia
Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa kutoka kwa Meneja Mradi
kutoka kampuni ya Selcom Tanzania Bw. Gallus Runyeta wakati wa hafla
ya makabidhiano ya mageti yanayotumia mfumo wa mashine za tiketi za
kieletroniki iliyofanyika katika Uwanja wa Taifa Jijini
Dar es Salaam Septemba 11, 2016.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye
akionesha kadi za kuingia katika Uwanja wa Taifa kwa ajili ya viongozi wakuuwa
nchi wakiwemo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe
Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe. Kassim
Majaliwa wakati wa hafla ya makabidhiano ya mageti yanayotumia mfumo
wa mashine za tiketi za kieletroniki iliyofanyika katika Uwanja wa
Taifa Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye
akipokea Saluti kutoka kwa kiongozi wa Bendi ya Polisi mara baada ya kumalizika
kwa hafla ya makabidhiano ya mageti yanayotumia mfumo wa mashine za tiketi za
kieletroniki iliyofanyika katika Uwanja wa Taifa Jijini
Dar es Salaam Septemba 11, 2016.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye
(katikati waliokaa) aliwa katika picha ya pamoja na wadau wa michezo nchini
mara baada ya kumalizika kwa hafla ya makabidhiano ya mageti yanayotumia mfumo
wa mashine za tiketi za kieletroniki iliyofanyika katika Uwanja wa
Taifa Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016 kulia waliokaa ni
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole
Gabriel na kushoto waliokaa ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Felix Lyaniva.
No comments:
Post a Comment