Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai
akimuapisha Mhe. Dkt Getrude Rwakatare kuwa Mbunge.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai
akimkabidhi Mhe. Dkt Getrude Rwakatare vifaa vya kazi mara baada ya kumuapisha
kuwa Mbunge leo Aprili 20, 2017 Mjini Dodoma.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai
akiongoza kikao cha kumi cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Aprili 20, 2017.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa
akijibu maswali ya wabunge katika kikao cha kumi cha Mkutano wa saba wa Bunge
la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20, 2017.
Naibu Waziri wa Afya maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Dkt
Hamisi Kigwangalla akijibu maswali ya wabunge katika kikao cha kumi cha Mkutano
wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20, 2017.
Mbunge wa Kuteuliwa Mhe. Salma Kikwete akiuliza swali katika kikao
cha tisa cha Mkutano wa kumi wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20,
2017.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Mhe. Suzan Kolimba akijibu maswali ya wabunge mbalimbali katika
kikao cha kumi cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili
20,2017.
Mbunge wa Mafinga
Mjini (CCM) Mhe Cosata David Chumi akiuliza swali katika kikao cha
kumi cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20, 2017.
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe. Stella Manyanya akijibu
maswali ya wabunge mbalimbali katika kikao cha kumi cha Mkutano wa saba
wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20,2017.
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Isack Kamwele akijibu maswali
ya wabunge mbalimbali katika kikao cha kumi cha Mkutano wa saba wa Bunge
la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 20,2017.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt Ashatu Kijaji akijibu maswali
ya wabunge mbalimbali katika kikao cha kumi cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11
leo Mjini Dodoma Aprili 20, 2017.
No comments:
Post a Comment