Monday 10 April 2017

PICHA: SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA UGENI KUTOKA TAASISI ZA MAENDELEO SHIRIKISHI









Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (Kushoto) akizungumza na Ujumbe kutoka Taasisi za Maendeleo Shirikishi, pale walipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Katika ni Kiongozi wa Msafara kutoka Taasisi za Maendeleo Shirikishi, Ndg. Kym McCarty na anaefuata ni Meneja wa Taasisi Shirikishi za kidemokrasia Ndg. Issifu Lampo (kulia).


No comments:

Post a Comment