Monday 10 April 2017

YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA NNE CHA MKUTANO WA SABA WA BUNGE LA 11 MIJINI DODOMA



Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Tulia Ackson akiongoza kikao cha nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.



Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Suleimani Jafo akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.



Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.


Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. Mwigulu Nchemba akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.


Mbunge wa Viti maalum  Morogoro (CHADEMA) Mhe. Devotha Minja  akitoa hoja Bungeni katika kikao cha nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.


Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. Mwigulu Nchemba(kulia) na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsi Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakifuatilia kikao cha nne cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.




No comments:

Post a Comment