Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri
wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) Bw. Gillard Ngewe (katikati) akisisitiza jambo
kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akielezea kusitishwa kwa mgomo
uliopangwa kufanywa na wasafirishaji wa abiria na mizigo nchini, kulia ni
Makamu Mwenyekiti wa Wamiliki wa Mabasi ya Mikoani (TABOA) Bw. Abdallah Mohamed na kushoto ni
Mwenyekiti wa wamiliki wa Daladala mkoa wa Dar es Salaam (UWADAR) Bw. Kismat
Jaffar.
Makamu Mwenyekiti wa Wamiliki wa Mabasi ya
Mikoani (TABOA) Bw. Abdallah Mohamed
(katikati) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati
akielezea hatua ya kusitishwa kwa mgomo uliopangwa kufanywa na wasafirishaji wa
abiria na mizigo nchini, kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti
Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) Bw. Gillard Ngewe na kushoto ni
Mwenyekiti wa wamiliki wa Daladala mkoa wa Dar es Salaam (UWADAR) Bw. Kismat
Jaffar.
Waandishi wa habari wakiwasikiliza viongozi wa vyama
vya usafishaji nchini wakati wakielezea hatua ya kusitishwa kwa mgomo
uliopangwa kufanywa na wasafirishaji wa abiria na mizigo nchini mapema hii leo
jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment