Thursday 13 April 2017

YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA SABA CHA MKUTANO WA SABA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA LEO APRIL 13, 2017



Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiwasili katika ukumbi wa Bunge kuongoza kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017.





Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017.



Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt Philip Mpango akiwasilisha Ripoti ya mwaka ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kuhusu Taarifa za Fedha za Serikali kuu , Fedha za Miradi ya  Maendeleo, Fedha za Mashirika ya Umma na majibu ya hoja na mpango wa kutekeleza mapendekezo ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Mashirika ya Umma kwa mwaka wa Fedha 2015/2016.



Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Suleimani Jafo akiwasilisha Randama za Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais (TAMISEMI,UTUMISHI NA UTAWALA BORA) kwa mwaka wa Fedha 2017/2018 katika kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017.



Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. George Simbachawene akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017.



Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na watoto Mhe. Ummy Mwalimu akiwasilisha Ripoti ya Ukaguzi wa Ufanisi juu ya Usimamizi wa Mikataba iliyoingiwa kati ya Serikali na Hospitali za Binafsi Nchini katika kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017.



Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Isack Kamwelwe akiwasilisha Ripoti ya Ukaguzi wa Ufanisi katika Usimamizi wa uchukuaji wa Maji kutoka Vyanzo vya Maji katika kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017.



Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Ufundi Mhe. Stella Manyanya akiwasilisha Ripoti  ya Ukaguzi wa Ufanisi juu ya Uzalishaji wa Wahitimu katika Sekta ya Mafuta na Gesi Asilia katika kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017.




Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017.






Naibu Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Edwin Ngonyani akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017.



Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Dkt Medrid Kalemani  akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017.



 Mbunge wa Bunda Mjini (CHADEMA) Ester Bulaya akiuliza swali  katika kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017.



Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Sospeter Muhongo  akijibu hoja mbalimbali za wabunge katika kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017.



Mbunge wa Mafia (CCM) Mhe. Mbaraka Kitwana Dau akiuliza swali  katika kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017.



Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na watoto Mhe. Ummy Mwalimu akijadiliana jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angelah Kairuki  katika kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017.



Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe. Mhe. Isack Kamwelwe akijadiliana jambo na Mbunge wa Mtama Mhe. Nape Moses Nnauye katika kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017.



Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Jenista Mhagama akijadiliana jambo na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Mwigulu Nchemba katika kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017.



Ujumbe kutoka Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali wakiongozwa na Mkaguzi Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof Mussa Assad wakifuatilia kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017.





Wabunge wakifuatilia hoja mbalimbali katika kikao cha saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017. 


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akitoka  katika ukumbi wa Bunge mara baada ya kuhairisha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017 kwa mapumziko ya Sikukuu ya Pasaka.





Baadhi ya wabunge wakitoka katika Ukumbi wa Bunge mara baada ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai kuhairisha  Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Aprili 13, 2017 kwa mapumziko ya Sikukuu ya Pasaka.


No comments:

Post a Comment