Friday 12 August 2016

MESSI APIGA MBILI NA KUMSETIA SUAREZ MOJA BARCA IKIUA 3-2 SAMPDORIA MCHEZO WA KIRAFIKI

Mshambuliaji wa Barcelona, Luis Suarez (kushoto) akishangilia na mchezaji mwenzake, Lionel Messi (kulia) baada ya kufunga katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Sampdoria kwenye mchezo wa kirafiki leo Uwanja wa Camp Nou. Mabao ya Barca yalifungwa na Messi mawili na Suarez moja, wakati ya Sampdoria yalifungwa na Luis Muriel na Ante Budimir

No comments:

Post a Comment