Monday 1 August 2016

PICHA:MKUU WA MKOA WA GEITA MEJA JENERALI MSTAAFU EZEKIEL KYUNGA APOKEA MWENGE WA UHURU


Mwenge wa Uhuru



Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaaafu Salum Kijuu (kushoto)akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Geita Meje Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga.


Watumishi wakipokea Mwenge wa Uhuru



Wakimbiza Mwenge wa Uhuru wakisubiri rasmi kukabidhiwa katika Mkoa wa Geita baada ya kumaliza kukimbiza Mwenge katika Mkoa wa Kagera.

No comments:

Post a Comment