Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akisalimia na Rais wa Chama cha Waalimu Tanzania
(CWT) Bw. Gratian Mkoba walipokutana katika ufunguzi wa mashindano ya michezo
ya Umoja wa Vyama vya Waalimu wa nchi za Kusini mwa Afrika (SATO)yaliyofanyika
Agosti 30,2016.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akimsikilza
Rais wa Chama cha Waalimu Tanzania (CWT) Bw. Gratian Mkoba walipokuwa
wakijadiliana maswala mbalimbali ya kimichezo katika ufunguzi wa mashindano ya
michezo ya Umoja wa Vyama vya Waalimu wa nchi za Kusini mwa Afrika(SATO)
uliofanyika Agosti 30,2016.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (wa
pili kushoto) akizungumza na viongozi wa Umoja wa Vyama vya Waalimu wa nchi za
Kusini mwa Afrika (SATO) katika ufunguzi ya mashindano ya michezo ya Umoja huo
uliofanyika Agosti 30,2016.
Katibu Mkuu wa Chama cha Waalimu Tanzania (CWT) Bw. Yahya Msugwa(kulia)
akifafanua jambo kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape
Moses Nnauye (wa pili kushoto) walipokutana katika ufunguzi wa mashindano ya
michezo ya Umoja wa Vyama vya Waalimu wa nchi za Kusini mwa Afrika (SATO)
uliofanyika Agosti 30,2016.
Rais wa Umoja wa Vyama vya Waalimu wa nchi za Kusini mwa Afrika(SATO)
Bw. Henry Kapenda akielezea jambo kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo
Mhe. Nape Moses Nnauye (wa pili kushoto) walipokutana katika ufunguzi wa
mashindano ya michezo ya Umoja wa Vyama vya Waalimu wa nchi za Kusini mwa
Afrika (SATO) uliofanyika Agosti 30,2016.
No comments:
Post a Comment