Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa
Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Mhe. Heiko Maas, Ikulu jijini Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Mambo
ya Nje wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Mhe. Heiko Maas wengine pichani
kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi
Augustine Mahiga (kulia) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Zanzibar Mhe. Issa
Gavu, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Waziri wa
Mambo ya Nje wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Mhe. Heiko Maas mara
baada ya mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam.
(PICHA NA
OFISI YA MAKAMU WA RAIS)
No comments:
Post a Comment