Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba akitoa Maelekezo kwa Watendaji Wakuu wa Wizara yake wakati wa Kikao cha Mapitio ya Bajeti ya Wizara hiyo, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kabla ya kusomwa bajeti ya Wizara hiyo, Bungeni jijini Dodoma, kesho. Kulia ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhandisi Hamad Masauni. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Mstaafu, Projest Rwegasira. Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Wizara, jijini humo leo. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba (katikati meza kuu), akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali Mstaafu, Projest Rwegasira alipokua anatoa maelezo katika kikao cha Mapitio ya Bajeti ya Wizara hiyo, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kabla ya kusomwa Bungeni jijini Dodoma, kesho. Kulia meza kuu ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhandisi Hamad Masauni. Wapili kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Simba Yahya. Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini humo leo.
Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi.Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Mstaafu,
Projest Rwegasira (kulia), akimsikiliza Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali
Watu wa Wizara hiyo, Issa Ng'imba, kabla ya kuanza kikao cha Mapitio ya Bajeti
ya Wizara hiyo, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kabla ya kusomwa Bungeni jijini
Dodoma, kesho. Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara
hiyo, jijini humo leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu
Nchemba (katikati meza kuu), akimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja
Jenerali Mstaafu, Projest Rwegasira alipokua anatoa maelezo katika kikao cha
Mapitio ya Bajeti ya Wizara hiyo, ikiwa ni sehemu ya maandalizi kabla ya kusomwa
Bungeni jijini Dodoma, kesho. Kulia meza kuu ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo,
Mhandisi Hamad Masauni. Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa
Wizara hiyo, jijini humo leo. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi.
No comments:
Post a Comment