Thursday 9 March 2017

PICHA:WAZIRI SIMBACHAWENE AFANYA ZIARA KUKAGUA USAFI WA MAZINGIRA MJINI DODOMA



Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. George  Simbachawene akiongea na waandishi wa habari  Tamko la utekelezaji na ufatiliaji wa ugonjwa wa Kipindupindu katika Mkoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Ofisini kwake, Dodoma.



Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. George  Simbachawene  akiambatana na  Afisa Masoko Manispaa ya Mji wa Dodoma, Stephen Maufi  katika ziara fupi ya kutembelea na kukagua usafi katika maeneo mbalimbali ya mji wa Dodoma.



Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. George  Simbachawene  na  Naibu Katibu Mkuu Afya , Dkt. Zainabu Chaula  wakiangalia mrefeji wa maji machafu uliopo katika Soko la Mwembeni katika ziara fupi ya kutembelea na kukagua  usafi katika maeneo mbalimbali ya mji wa Dodoma.



Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. George  Simbachawene  akifurahia ubunifu  wa uhifadhi wa mbogamboga na matunda katika ziara fupi ya kutembelea na kukagua  usafi katika maeneo mbalimbali ya mji wa Dodoma.



Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. George  Simbachawene akizungumza na mmoja wa wafanya biashara katika soko la Mwembeni  Bw. Mjahidina Hassani katika ziara fupi ya kutembelea na kukagua  usafi katika maeneo mbalimbali ya mji wa Dodoma.



Naibu Katibu Mkuu Afya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR- TAMISEMI)  , Dkt. Zainabu Chaula   akisisitiza juu ya  Uhamisho wa wafanya biashara ndogo ndogo kwenda Uwanja wa Barafu katika ziara fupi ya kutembelea na kukagua  usafi katika maeneo mbalimbali ya mji wa Dodoma.

No comments:

Post a Comment