Friday 10 March 2017

STORM FM YA MKOANI GEITA WAKISHIRIKIANA NA MGODI WA GGM WATOA ELIMU YA MAAMBUKIZI YA VVU KWA WANAFUNZI WA GESECO


Meneja wa kituo cha Radio cha Storm Fm Modesta Mselewa  akiwasisitiza wanafunzi Kusoma kwa Bidii na kuachana na vishawishi ambavyo vinaweza kuwasababisha kujiingiza katika mahusiano ya kimapenzi kwenye umri mdogo.



Mhelimishaji Rika,Fadhili Mzavah ,akitoa elimu juu ya athari za maambukizi ya virusi vya ukimwi katika shule ya Geita Sekondari.

Wanafunzi wa Geita Sekondari  wakifuatilia Semina kwa umaki zaidi. 


Meneja wa kituo cha Radio cha Storm Fm Modesta Mselewa  ,akiendelea kutoa maelekezo ya namna ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya ukimwi.

Mhelimishaji Rika,Fadhili Mzavah ,akiwaelekeza wanafunzi kanuni ambazo wanatakiwa kuzifuata ili wasiweze kujiingiza kwenye vishawishi vya mapenzi.

Mhelimishaji Rika,Fadhili Mzavah ,akiwachangamsha vijana.






No comments:

Post a Comment