Wednesday 1 March 2017

PICHA: WIZARA YA HABARI NA MICHEZO HODI DODOMA KWA AINA YAKE



Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na vijana wa Jogging club mara baada ya kufanya mazoezi ya pamoja yenye nia ya kuimarisha afya na kuendeleza michezo nchini yaliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma leo March 1, 2017. 



Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu kazi Vijana na Ajira Mhe. Anthony Mavunde akiwapongeza vijana wa Jogging club na wakazi wa Dodoma kwa kushirki michezo mara baada ya kufanya mazoezi ya pamoja yenye nia ya kuimarisha afya na kuendeleza michezo nchini yaliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri  leo March 1, 2017.


Katibu Mkuu Wizara wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akiwashukuru wakazi na vijana wa Jogging club  kwa mapokezi mazuri ya Wizara yake mara baada ya kufanya mazoezi ya pamoja yenye nia ya kuimarisha afya na kuendeleza michezo nchini yaliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma leo March 1, 2017.



Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Nchini Bw. Omary Singo akitoa hamasa kwa wakazi na vijana wa Jogging club  kushiriki michezo katika kuimarisha afya na kuendeleza michezo nchini mara baada ya kufanya mazoezi ya pamoja yaliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma leo March 1, 2017.


Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye(katikati) akishiriki kukimbia na vijana wa Jogging club Mjini Dodoma leo March 1,2017 wa pili kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof. Elisante Ole Gabriel.



No comments:

Post a Comment