Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Elisante
Ole Gabriel akiwakaribisha Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt
Harrison George Mwakyembe na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Nape Moses
Nnauye kwa ajili ya makabidhiano rasmi ya Ofisi yaliyofanyika katika Ofisi za
Wizara Mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura
akitoa neno kwa Waziri mpya na Waziri aliyepita wakati wa makabidhiano rasmi ya
Ofisi yaliyofanyika katika Ofisi za Wizara Mjini Dodoma.
Mhe. Nape Moses Nnauye aliyekuwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na
Michezo akitoa shukurani zake kwa watendaji wa Wizara kwa muda wote aliotumikia
Wizara katika makabidhiano rasmi ya Ofisi yaliyofanyika katika Ofisi za Wizara
Mjini Dodoma.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt Harrison George
Mwakyembe akimshukuru aliyekuwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo
Mhe. Nape Moses Nnauye kwa kuitumikia Wizara kwa muda wote aliokuwepo.
Waziri wa Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt Harrison George Mwakyembe na aliyekuwa
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye wakitia
saini hati za makabidhiano rasmi ya Ofisi yaliyofanyika katika Ofisi
za Wizara Mjini Dodoma akishubudia utiaji wa saini ni Katibu Mkuu wa Wizara
hiyo Prof Elisante Ole Gabriel .
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt Harrison George
Mwakyembe na aliyekuwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses
Nnauye wakikabidhiana hati za makabidhiano rasmi ya Ofisi
yaliyofanyika katika Ofisi za Wizara Mjini Dodoma.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo
Mhe. Dkt Harrison George Mwakyembe na aliyekuwa Waziri wa Habari Utamaduni
Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu
Waziri Mhe. Anastazia Wambura ,Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Prof
Elisante Ole Gabriel, Naibu Katibu Mkuu Bibi Nuru Millao na watendaji wa Wizara
mara baada ya mkabidhiano rasmi ya Ofisi yaliyofanyika katika Ofisi za Wizara
Mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment