Afisa Usajili
wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa Mkoa wa Mwanza Bw. Daud Hashimu Abdallah
akiwasilisha taarifa ya usajili wa watumishi wa umma kwa ajili ya kupatiwa
Vitambulisho vya Taifa kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimeti ya
Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (hayupo pichani) wakati wa ziara ya kikazi ya waziri huyo mkoani Mwanza kwa ajili ya
kukagua na kufanya tathmini ya zoezi la usajili wa watumishi wa umma ili kupata Vitambulisho vya
Taifa.
Mkurugenzi wa
Halimashauri ya Wilaya Misungwi Bw. Eliurd L. Mwaiteleke (kulia) akimuongoza
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Mhe. Angellah J. Kairuki (katikati) kwenda katika moja ya kituo cha kusajili
watumishi wa umma kwa ajili ya kupatiwa Vitambulisho vya Taifa wakati wa ziara
ya waziri huyo ili kuona namna zoezi hilo linavyoendeshwa katika Halimashauri
ya Wilaya Misungwi.
Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.
Angellah J. Kairuki akipewa ufafanuzi na
Afisa Usajili wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa wa Halimashauri ya Wilaya
Misungwi Bw. Abbasi Iwodya (kulia) juu ya taarifa zinazowasilishwa na watumishi
wa umma kwa ajili ya kupatiwa
Vitambulisho vya Taifa wakati wa ziara ya kikazi ya waziri huyo aliyoifanya katika Halimashauri ya
Wilaya Misungwi.
Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.
Angellah J. Kairuki (Mb) akizungumza na mmoja wa watumishi aliyekuwa akijisajili kwa ajili ya kupata Kitambulisho cha
Taifa wakati wa ziara ya waziri huyo ya kukagua na kufanya tathmini ya zoezi
hilo katika Halimashauri ya Wilaya Misungwi.
Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.
Angellah J. Kairuki (Mb) akikagua viambatisho vya malalamiko yaliyowasilishwa
na mmoja wa watumishi wa Halimashauri ya Wilaya Misungwi wakati wa ziara ya kikazi ya waziri huyo aliyoifanya katika Halimashauri hiyo
ili kukagua na kufanya tathmini ya zoezi la usajili wa watumishi wa umma kwa ajili ya kupatiwa Vitambulisho vya
Taifa mkoani Mwanza.
Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.
Angellah J. Kairuki (Mb) akipokea malalamiko ya mtumishi wa Halimashauri ya
Wilaya Misungwi wakati wa ziara ya kikazi ya waziri huyo aliyoifanya katika Halimashauri hiyo
ili kukagua na kufanya tathmini ya zoezi la usajili wa watumishi wa umma kwa ajili ya kupatiwa Vitambulisho vya
Taifa mkoani Mwanza.
Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.
Angellah J. Kairuki (Mb) akizungumza na watumishi wa Halimashauri ya Wilaya
Misungwi wakati wa ziara ya kikazi ya waziri huyo aliyoifanya katika Halimashauri hiyo
ili kukagua na kufanya tathmini ya zoezi la usajili wa watumishi wa umma kwa ajili ya kupatiwa Vitambulisho vya
Taifa mkoani Mwanza.
Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.
Angellah J. Kairuki (Mb) akishuhudia mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya
Ilemela akisajiliwa kwa
ajili ya kupata Kitambulisho cha Taifa wakati wa ziara ya waziri huyo ya kukagua
na kufanya tathmini ya zoezi hilo katika Halimashauri hiyo.
Baadhi ya
watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyamagana waliojitokeza kwa ajili ya
kujisajili ili kupata Vitambulisho vya Taifa wakimsikiliza Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Rais, Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J.
Kairuki (Mb) (hayupo pichani) wakati wa ziara ya kikazi ya waziri huyo
aliyoifanya katika Halmashauri hiyo ili kukagua na kufanya tathmini ya zoezi
hilo.
Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.
Angellah J. Kairuki (Mb) akishuhudia usajili wa watumishi wa umma wa
Halmashauri ya Wilaya ya Nyamagana kwa ajili ya kupata Vitambulisho vya Taifa
wakati wa ziara ya kikazi ya waziri huyo aliyoifanya katika Halmashauri hiyo
ili kukagua na kufanya tathmini ya zoezi hilo.
Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimeti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.
Angellah J. Kairuki (Mb) akisisitiza juu ya ukamilishaji wa zoezi la usajili wa
watumishi wa umma mkoani Mwanza wakati wa ziara ya kikazi ya waziri huyo mkoani
humo, aliyoifanya kwa lengo la
kufanya tathmini ya zoezi hilo . Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Bw. John
Mongella akimsikiliza.
No comments:
Post a Comment