Tuesday 11 October 2016

PICHA:DKT. NDUMBARO AWATAKA WATUMISHI WA UMMA NCHINI KUFANYA KAZI KWA BIDII



Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (katikati) akitoa maelezo kuhusu Utumishi wa Umma nchini wakati wa kipindi cha TUNATEKELEZA kinachoandaliwa na Runinga ya Taifa (TBC-1). Kulia ni Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi. Kushoto muongoza kipindi Bi. Eshe Muhidin.


TUNATEKELEZA: Muongoza kipindi Bi. Eshe Muhidin (kushoto) Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro (katikati) na Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi (kulia) wakiwa katika majadiliano kuhusu Utumishi wa Umma nchini.


Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bi. Susan Mlawi (kulia) akichangia hoja kuhusu uwajibikaji ndani ya Utumishi wa Umma wakati wa kipindi cha TUNATEKELEZA kilichoandaliwa na Runinga ya Taifa (TBC-1). Wanaomsikiliza ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais- Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (katikati) na Muongoza kipindi Bi. Eshe Muhidin (kushoto).

No comments:

Post a Comment