Friday, 14 October 2016

MHE ANASTAZIA WAMBURA ATEMBELEA JAKAYA MRISHO KIKWETE YOUTH PARK NA KUBARIKI MASHINDANO YA YOUTH DEVELOPMENT CUP 2016

Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura akisalimiana na Mkurugenzi wa Ufundi wa kituo cha Michezo cha Jakaya Mrisho Kikwete Youth Park Bw. Ray Power kilichopo Mnazi mmoja Jijini Dar es Salaam leo Oktoba 13,2016.

Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura akitembelea na kujionea viwanja mbalimbali vya michezo katika kituo cha Jakaya Mrisho Kikwete Youth Park  kilichopo Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam huku akipata  maelezo kutoka kwa  Mkurugenzi wa Ufundi wa kituo hicho Bw. Ray Power leo Oktoba 13,2016.

Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bw. Alex Nkenyenge akiuliza maswali kwa Mkurugenzi wa Ufundi wa kituo cha michezo cha Jakaya Mrisho Kikwete Bw. Ray Power  ili kujua mambo muhimu kuhusu kituo hicho leo Oktoba 13,2014.

Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura akipiga mpira ikiwa ni ishara ya kubariki fainali za mashindano ya Youth Development Cup yaliyofanyika katika viwanaja vya kituo cha michezo Jakaya Mrisho Kikwete leo Oktoba 13, 2016.

Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura akisalimiana na wachezaji wa timu ya vijana ya Bom Bom kutoka Ilala kabla ya kuanza kwa fainali ya mashindano ya Youth Development Cup 2016 leo Oktoba 13, 2016.

Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura akipiga mpira ikiwa ni ishara ya kubariki fainali za mashindano ya Youth Development Cup yaliyofanyika katika viwanaja vya kituo cha michezo Jakaya Mrisho Kikwete leo Oktoba 13, 2016.

Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya vijana ya Home Team Academy  kutoka Temeke kabla ya kuanza kwa fainali ya mashindano ya Youth Development Cup 2016 leo Oktoba 13,2016.

No comments:

Post a Comment